Kila shughuli mji huu wa Dar es Salaam wakiwarehemu masheikh jina la kwanza ni la Sheikh Hassan bin Ameir.
Saigon Club kila mwaka inafanywa khitma na jina la kwanza huwa la Mufti Sheikh Hassan bin Ameir.
Mwaka wa 2004 nilialikwa Zanzibar University kutoa mada kuhusu Sheikh Hassan bin Ameir.
Nilifungua mhadhara wangu kwa mukadama huo hapo chini baada ya Bismillah Rahman Rahim:
''The name of Mufti Sheikh Hassan bin Ameir like the names of many other Muslim patriots is omitted from the political history of Tanzania.[1]
There is no place in the official history in which his name is mentioned even in passing.
Hassan bin Ameir’s name began to feature in early 1980’s when Muslims privately began to research and document their role in the independence struggle as a reflection to their marginalisation in distribution of power.
As a result of this Sheikh Hassan bin Ameir’s name soon came to the fore and was associated not only with politics and equal power sharing between Muslims and Christians but also with efforts by Muslims to build educational institutions.
Having accomplished his role as a patriot and a symbol of mass mobilisation under TANU during the struggle he resigned from politics soon after Tanganyika achieved its independence in 1961 and through his organisation Dawa’t Islamiyya concentrated on serving Islam and Muslims.
This shift was to create an unprecedented confrontation between himself and the then President of Tanzania Julius Nyerere.
On the order of the President, Sheikh Hassan bin Ameir was arrested for ‘subversion’ and deported to Zanzibar and the EAWMS of which Sheikh Hassan bin Ameir was among its leaders declared an ‘illegal’ society.
In its place BAKWATA was formed to replace the EAMWS.
The reverberations of this clash between these two giants of titanic magnitude are being felt as we speak today likewise the vacuum left by the EAMWS has not been filled.
Consequently the political climate and relations between Muslims and the government was not to be the same again.
In the same breath relations between Muslims and BAKWATA to say the least has been lukewarm.
Muslims perceive BAKWATA as a puppet organisation and just to mention the name leaves a bad taste in the mouth.
To refer to a Muslim as a BAKWATA Muslim is like calling a Christian a disciple of Judas Iscariot who betrayed Jesus for thirty pieces of silver.
As to Nyerere, history is yet to judge him.
But one can not be knowledgeable to all this in the absence of the political history of Sheikh Hassan bin Ameir.
There are however, contrary voices disputing Sheikh Hassan bin Ameir’s political carrier.
These voices are originating from some of his students questioning his role in politics.
Students of Sheikh Hassan bin Ameir prefer to remember him as a brilliant ‘ulamaa’, an outstanding translator of the Qur’an[2] and not as a politician.
Sheikh Hassan bin Ameir’s ‘silsila’ goes back to Sayyidna A’li b. Abu T’alib and Rasuli Lahi (SAW).
Understandingly his students do not want to taint this with what they perceive as ‘trifles’.
But reality and history takes exception to this.
This stand if allowed to flourish would wipe out and obscure an important period in Sheikh Hassan bin Ameir’s life and hence erase a significant chapter in the nation’s history.
Along with it, the country will also lose his thoughts, teachings and aspirations, which made him what he is in the history of Tanganyika.
We will also not be able to uncover the forces behind marginalisation of Muslims.
This information is vital to Muslims and has to be accessible to all and sundry.
The truth however still remains that Sheikh Hassan bin Ameir was in deed a politician who played a leading role in Tanganyika’s struggle for independence.[3]
Muslims or his obedient students should be the last persons to question Sheikh Hassan bin Ameir’s political carrier.''
Katika hii picha ya TIS inaonekana hali bado ni shari, kipi cha hasa zaidi kiliwapitikia viongozi wetu hawa Kushindwa kuketi pamoja? Na kwanini iliamriwa akokotwe usiku wa manane? Na kwanini alipelekwa huko alikopelekwa hali ya kuwa katika harakati za uhuru alijumuika na wenzie (wapigania uhuru)

Ndugu zanguni,
Mimi wakati naanza utafiti wa hitoria ya TANU na uhuru wa Tanganyika haikunipitikia kuwa kitabu nitakachoandika kitagusa hisia za wasomaji wangu.
Mswada wa kitabu nilimpelekea mchapaji mmoja mkubwa sana hapa nchini.
Niliporudi kwake baada ya muda kumsikiliza akaniambia kuwa ule mswada ni ''gold mine,'' yaani mgodi wa dhahabu.
Akanihoji sana kutaka kujua vyanzo vya taarifa zangu.
Alinisaidia sana katika kuuboresha mswada wangu lakini hakuweza kuchapa kitabu na hakunambia sababu ingawa nilihisi.
Siku moja alikuja kijana mmoja mwalimu wa historia kutoka moja ya vyuo vya hapa nchini.
Akaniambia kuwa anaandika Ph. D Thesis kuhusu somo ambalo mimi nalijua akaniomba msaada.
Nilipoangalia vitabu alivyopitia sikuona kitabu cha Abdul Sykes.
Nilipomuuliza akaniambia kuwa ''supervisor,'' wake amemwambia akiondoe kitabu hicho kwa madai kuwa mwandishi hana ujuzi wa kuandika somo hilo.
Nikampa msaada wangu kwa kadiri Allah alivyoniwezesha.
Miaka ikapita.
Siku moja nikakutana na huyo kijana na akafurahi sana kuniona akanifahamisha kuwa shahada yake alipata na anafundisha historia kwenye chuo kikuu kimoja.
Akaniambia kuwa ana jambo anataka kunifahamisha.
Akasema, ''Mimi nasomesha somo linalohusu uhuru na ujenzi wa utaifa Tanganyika.
Mimi nawasomesha wanafunzi wangu kama nilivyosomeshwa mimi kwa rejea za Iliffe, Kimambo na Temu na vitabu vingine.
Siku moja hata sijui nini kilinipata nikawaambia wanafunzi wangu kuwa ningependa kuwasomesheni historia hii hii ambayo tumekuwa na Julius Nyerere katika, ''centre stand'' lakini nataka kuonyesha ugumu wa kuandika historia katika nchi za Kiafrika.''
Mimi nimetulia namsikiliza.
''Nilianza na historia yangu mwenyewe pale supervisor wangu wa Ph. D aliponiamuru nitoe kitabu cha Abdul Sykes katika orodha ya vitabu vya kupitiwa.
Hapa sasa ndipo nilipoanza kuwaeleza wanafunzi wangu nani Abdul Sykes.
Nikaanza kwa baba yake Kleist Sykes...''
Kijana anasema kile kipindi cha kwanza tu niliona wanafunzi wangu wamechangamka kiasi ambacho sikuwaona wakiwa wakati nasomesha historia rasmi.
Maswali yakawa mengi sana.
Anasema kuanzia siku ile aliendelea kusomesha historia hii ''mpya,'' hadi alipofikia mwisho.
Nimepata taarifa kuwa huyu kijana hasomeshii tena chuo hiki alipewa uhamisho.
Mohamed majigambo ha ha ha ha . Hakuna kitu kipya unachoeleza hapa.
Yote umeeleza miaka kumi iliyopita. Hakuna msomaji asiyejua hayo unayoeleza
Ukiona watu wanakuja ni kutokana na faida ya uchambuzi ambayo wengi hawakuweza kubaini
Watu wanapata fikra tofauti.
Nani alijua kuwa Kitwana Kondo na Ali Mwinyi Tambwe ambao wewe umewatambulisha kama special branch officers na sisi kuwafafanulia wasomaji kuwa special branch ni fitna kiswahili na snitch kimarekani! Kwamba wazee wako walishiriki fitna na hii ni kwa mujibu wako. Tatizo unatafuta attention sana na kuanika nguo..
Watu wanabaini tofauti ya Historia kama anavyoileta muungwana Fundi Mchundo
Sisi hatuongelei Benz ya Sykes tunaongelea mtirirko wa matukio na 'paradox' zake
Babu hujui alikuwa na wadhifa gani TRAU na huwezi kuunganisha kazi zake na za C.K. Tumbo. Tumekutembeza kuhusu Trade Union, kimyaa!
Tunaonyesha wasomaji si matundu ya historia bali nia yako katika uandishi
In short watu wanasoma kuelewa na hapo wengi wanafikirishwa na hoja zetu akiwemo Makala josee kwa uchache wa kuwataja. Makala kakukshauri wasikilize hawa mabwana! in a polite way
Moja ya silka yako ni kuwa ''attention seeker'
Mohamed huyo Jagina kafuzu mafunzo yako hana tatizo.
Ni kijana mzuri sana uliyemsomesha akaelewa sasa anatumia maarifa uliyompa.
Kumdhalilisha Nyerere amejifunza kutoka kwako na chuki aliyo nayo dhidi ya imani nyingine kajifunza kutoka kwako, you should be proud
Mwalimu wangu Sheikh Haruna alikuwa akitusisitizia sana kuhusu stamala na kuzuia ghadhabu.
''Si lazima ujibu kila kitu tahadhari na watu wenye husda ndani ya nyoyo zao,'' akituambia.
''Pitia maneno yake utaona ulimi haubanduki kutoka katika kile yeye anakiona ndiyo fahari yako atakirudia na kukirudia kila akienda atareje pale pale kwa kuwa ndani ya moyo wake Iblis anakoleza moto.
Huyu ni sawa na mke wa Abu Lahab mbeba kuni atapita kwingi kukufitinisha.
Kaa kimya In Shaa Allah utakuwa salama.''
***
‘’Uhuru ulipokuwa dhahiri sasa unapatikana na hapo ulipopatikana, ulikuja na changamoto nyingi ambazo naamini baba hakuzitegemea.
Haitakuwa sawasawa ikiwa sitaeleza upeo wa juu wa baba yangu katika wema, huruma na unyofu aliokuwanao.
Hata nilipokuwa mtoto nilipata kushuhudia na kuona chokochoko na chuki dhidi yake bila shaka kwa ajili ya hasad kwani baba kwa kiwango chochote kile alikuwa mtu aliyefanikiwa kwenye ngazi nyingi ambazo wengi hawakuthubutu hata kuota kukanyaga, lakini sikumuona baba kukasirika wala kutaka kulipiza kisasi.
Katika unyofu wa hali ya juu aliendelea na maisha yake.’’
Kumbukumbu ya miaka 50 ya kifo cha Abdulwahid Kleist Sykes
Daisy Sykes
Kampala
(2018)
Nimecheka sana, anataka ''kutusomesha'' kama alivozoea kusomesha kwik kwik kwik
Yaani tumekaa jamnvini anatusomesha!
Mohamed hataki challenge, amezoea hewala , ahsante nguli wewe ndiye mwenyewe hakunazaidi yako, hongera baba n.k. Sasa anapofika mahali anahojiwa na hana majibu hapo kwanza anakimbia , pili analeta mapicha na hadithi ndeefu akiwa na bibi yake! zinatuhusu nini sisi
Umeona, leo wasomaji wamejua mambo mengi sana kuhusu trade union.
Wamefahamu mengi sana kuhusu familia za wapigania uhuru tofauti na anavyoeleza
Mohamed huyo Jagina kafuzu mafunzo yako hana tatizo.
Ni kijana mzuri sana uliyemsomesha akaelewa sasa anatumia maarifa uliyompa.
Kumdhalilisha Nyerere amejifunza kutoka kwako na chuki aliyo nayo dhidi ya imani nyingine kajifunza kutoka kwako, you should be proud
Naona unafikiri nimejifundishwa kwa Mzee Mohammed tu . Mimi kwa kiasi fulani wazee wangu wamo Na Wazaramo. Pale Tandamti walikuwepo enzi hizo. Nikiwaona harakati zao . Na naelewa.
Wewe umejifichä hutaki kutoka . Mwalimu gani anayesomesha wanafunzi nyuma ya pazia. Kama unalo la maana vua barakoa
Historia hii ipo na inasomwa.
Yeyote akisoma kitabu ha Abdul Sykes ataona ule ukweli.
Kitabu cha maisha ya Mwalimu Nyerere ni matokeo ya mazungumzo kati ya Prof. Haroub Othman na Mwalimu kuwa historia yake imebadilishwa na kitabu cha Abdul Sykes kwa hiyo ni muhimu na yeye akaeleza nini nafasi yake katika kuunda TANU na mengineyo.
Nimehojiwa na Prof. Issa Shivji na jopo lake kuhusu Mwalimu Nyerere hasa uhusiano wake na Abdul Sykes.
Nimeeleza yote niliyokuwa nayajua na zaidi na nikawafungulia Maktaba.
Hata hivyo wameandika ambayo mimi kwa uchache naweza kusema tu si sawa.
Lakini mimi nachukulia kuwa labda hawakuniamini.
Kwa kuwa kitabu cha Abdul Sykes kipo wasomaji wataamua.
Jopo wamenipa kitabu cha Mwalimu Hard Cover kama shukurani yao kwangu kwa mchango wangu katika uandishi wa maisha ya Mwalimu.
Fundi Mchundo
Katika hili la kuweka Historia katika muktadha wake hatupo wenyewe
Prof Issa Shivji na Prof Saida Othman Haroub walikwenda kwa Mohamed na tuliona Picha kama kawaida. Soma huzuni aliyo nayo Mohamed Said kwa kutosikilizwa
Kuna neno hapa, kwanza, hawa si watu wa kanisani . Pili, hawa wasomi wametafuta ukweli na katika hilo walibaini ima kujichanganya, au kutokuwa na ushahidi au kuzusha au kukosa mtiririko na hivyo kuweka pembeni maandiko ya Mohamed na kitabu chake cha Abdulwahid Sykes.
Maprofesa wameshindwa kuona 'connection' ya matukio mfano wa yale ya trade union
Kwamba Mzee Salum Abdallah , Babuye Mohamed alikuwa Rais wa TRAU na katibu mkuu C.K.Tumbo mwaka 1955.
Umetuonyesha chimbuko la trade union' kufikia mwaka 1959 C. Tumbo akiwa katibu mkuu
Hoja ya lini picha za Salum Abdallah na C.K. Tumbo zimechukuliwa haijibiwi, haina jibu.
Hoja ya vipi Abdul Sykes alieneza harakati za Uhuru Tanganyika kupitia mikutano inapojibiwa kwamba alifanya mikutano na Kenyatta na Kapenguria team
Habari kama hii unawezaje kuiweka katika chapisho la University?
Profesa waliandika Historia ya Mwalimu hawakuwa na interest nani alikuwa na Benz mjini
Mohamed hataki kukosolewa ''Anasomesha ' tu wale waliokubali kusomeshwa.
Wengine tunasoma! tumekataa kusomeshwa ! mwana 2022 bado mtu asomewe kitabu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.