Kisoda James
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 1,114
- 813
Wewe na Infantry Soldier hampaswi kubishana bali mnatakiwa kuelimishana ili mjengana kitaaluma.Swali lako kama Misri anaweza au hawezi kufanya shambulio sijalijibu, na zaidi ya predictions sitarajii mtu alijibu kwa usahihi
Wewe na Infantry Soldier hampaswi kubishana bali mnatakiwa kuelimishana ili mjengana kitaaluma.
Tunapenda Rais Magufuli apate changamoto, asishinde kwa 100% Membe akisimama,Rais Magufuli atashinda kwa 98% ila wakisimamisha wengine Magufuli ni 100%.Usitutishe
Okay...Tunapenda Rais Magufuli apate changamoto, asishinde kwa 100%
Egypt akijidai kuvamia Bwawa la Ethiopia atatandikwa maana Mchina anambeba Ethiopia Kama Mtoto wakeNinakubaliana na wewe mkuu kwa 100% kwa maana unaonekana ni mzalendo kama mimi
Hivi unajua kuwa JPM ni Rais bora africa kwa sasa?Egypt akijidai kuvamia Bwawa la Ethiopia atatandikwa maana Mchina anambeba Ethiopia Kama Mtoto wake
Nalitambua hata Lissu anajuaHivi unajua kuwa JPM ni Rais bora africa kwa sasa?
Basi wewe ndio rafiki yangu.Nalitambua hata Lissu anajua
Chama chini ya Rais Magufuli kipo busy kujenga Nchi ila vyama vingine vinashindana kuhutubia Facebook.Wewe na Infantry Soldier hampaswi kubishana bali mnatakiwa kuelimishana ili mjengana kitaaluma.
Sawa mkuu...Chama chini ya Rais Magufuli kipo busy kujenga Nchi
Njoo CCM acha kujifanya Soldier wa JF kijana wewe.Sawa mkuu...
DuuuhChama chini ya Rais Magufuli kipo busy kujenga Nchi ila vyama vingine vinashindana kuhutubia Facebook.
Unashangaa? Habari ndio hiyo mkuu.Duuuh
Zanzibar Hussein Mwinyi ndiye Rais ajaye.Sawa mkuu...
Rais Magufuli tangia akiwa waziri katika wizara mbalimbali hajawai kuwa na mshindani katika kariba yake katika mambo ya ufanisi na utendaji kazi bora.Okay...
Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania, Yampongeza Rais Magufuli na Kuipongeza Tanzania, Kujenga Mazingira Bora ya Biashara ya Mafuta, Uwekezaji.Sawa mkuu...
Kumbe sera ya Bima ya afya kwa watanzania wote Tundu Lissu ka copy kutoka Ilani ya ccm!Okay...
Nimeona na daraja letu la kigamboni,hongera Magufuli.Okay...