1981 Israel Raid on the Reactor: Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa la umeme huko Ethiopia?

1981 Israel Raid on the Reactor: Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa la umeme huko Ethiopia?

Asante sana infantry soldier,nafurahishwa sana na makala zako za mambo mbalimbali,naomba km inawezekana utume na ile makala ya Waisrael walivyookolewa kutoka mateka huko entebe,au km huo uzi uko huku unisaidie niuone,shukrani mdogo angu/mwanangu
 
Nadhani na sisi tunahitaji S400 ama S500 kama nne hivi. Moja tuuweke Mafia, mwingine milima ya Uluguru, mwingine milima ya wazo na wa mwisho Unguja. Nadhani mnaelewa ninachotaka tukilinde!
 
Back
Top Bottom