Kisoda James
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 1,114
- 813
Wewe na Infantry Soldier hampaswi kubishana bali mnatakiwa kuelimishana ili mjengana kitaaluma.Swali lako kama Misri anaweza au hawezi kufanya shambulio sijalijibu, na zaidi ya predictions sitarajii mtu alijibu kwa usahihi