1981 Israel Raid on the Reactor: Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa la umeme huko Ethiopia?

1981 Israel Raid on the Reactor: Jeshi la anga la Misri linaweza kufanya shambulizi la ghafla (Blitzkrieg) kwenye bwawa la umeme huko Ethiopia?

Mimi niliandika humu JF mwezi wa August ila Rais Trump akaja ku-suggest huo ushetani wake wa kivita mwezi October. I was two months ahead of him.
 
Samia anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda Mjerumani miaka hiyo wakati bado anaitawala Tanganyika kwa mabavu
Chadema walilamikia ufisadi ila Samia ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha Chadema
 
Samia aliposema yeye ni kiongozi anayewajali sana wanyonge na watu wa chini wapinzani walidhani anatania?
Rais Samia atatufikisha tu kama ndani ya miaka mitano akiwa na JPM ametufikisha uchumi wa kati haitachukua muda kumfikia Russia.
 
Rais Samia atatufikisha tu kama ndani ya miaka mitano akiwa na JPM ametufikisha uchumi wa kati haitachukua muda kumfikia Russia.
Hii Nchi imetoka mbali yale mawazo na ndoto za Nyerere yanaanza kutekelezwa na Rais Samia.
 
wafanye tu raid ili waethiopia waweke sumu kwenye maji wanayotegemea kunywa. yaani mimi ndio namiliki mto wewe unategemea kuyanwa maji yake halafu unaleta kibesi, si utakuwa mjinga?
 
Back
Top Bottom