Trump suggests Egypt may 'blow up' Ethiopia dam
US President Donald Trump on Friday voiced anger at Ethiopia over its construction of a huge dam on the Nile River and appeared to suggest that Egypt may destroy it.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi naona Rais Samia anapambana na UZEMBE NA RUSHWA kuliko marais wote waliopata kuiongoza Tanzania.Huyo ndiye Samia, anamwaga mapesa Wananchi tupate huduma bora.
Rais Samia ameweka rekodi ya kupeleka umeme kila kijiji Tanzania Hii haijawahi kutokea kwa Africa Ahsante Samia kwa kuwatumikia WatanzaniaBinafsi naona Rais Samia anapambana na UZEMBE NA RUSHWA kuliko marais wote waliopata kuiongoza Tanzania.
Mimi niliandika humu JF mwezi wa August ila Rais Trump akaja ku-suggest huo ushetani wake wa kivita mwezi October. I was two months ahead of him.![]()
Trump suggests Egypt may 'blow up' Ethiopia dam
US President Donald Trump on Friday voiced anger at Ethiopia over its construction of a huge dam on the Nile River and appeared to suggest that Egypt may destroy it.news.yahoo.com
Mabeberu yameanza kumpigia samia magoti. Tuliwaonya Samia hajaribiwiRais Samia ameweka rekodi ya kupeleka umeme kila kijiji Tanzania Hii haijawahi kutokea kwa Africa Ahsante Samia kwa kuwatumikia Watanzania
Samia anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda Mjerumani miaka hiyo wakati bado anaitawala Tanganyika kwa mabavuMabeberu yameanza kumpigia samia magoti. Tuliwaonya Samia hajaribiwi
Chadema walilamikia ufisadi ila Samia ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha ChademaSamia anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda Mjerumani miaka hiyo wakati bado anaitawala Tanganyika kwa mabavu
Wakiwaita niggers msikimbilie kusema ni wabaguzi.Mabeberu yameanza kumpigia samia magoti. Tuliwaonya Samia hajaribiwi
Tunashukuru Tanzania tumepata Rais Mzalendo anayeipenda Nchi yake Asante sana mama SamiaChadema walilamikia ufisadi ila Samia ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha Chadema
Ninampenda sana Samia kuliko MboweTunashukuru Tanzania tumepata Rais Mzalendo anayeipenda Nchi yake Asante sana mama Samia
Rais Samia anatoa funzo kubwa saaaana kwa CHADEMATunashukuru Tanzania tumepata Rais Mzalendo anayeipenda Nchi yake Asante sana mama Samia
huko duniani ukisema unatoka Tanzania wanaanza kukudadisi mambo mema kuhusu Rais SamiaRais Samia anatoa funzo kubwa saaaana kwa CHADEMA
Rais Samia anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sanahuko duniani ukisema unatoka Tanzania wanaanza kukudadisi mambo mema kuhusu Rais Samia
Kupigia kura aliyetumwa na Wazungu mwaka 2020 hadi mababu na mabibi wangetulaani Kura yangu nilimpa Rais Samia tu.Rais Samia anafanya kazi kubwa wazo la kumuongezea muda ni wazo zuri sana
Ajenda ya upinzani ni kupinga maendeleo na kumtukana Rais Samia.Kupigia kura aliyetumwa na Wazungu mwaka 2020 hadi mababu na mabibi wangetulaani Kura yangu nilimpa Rais Samia tu.
Samia aliposema yeye ni kiongozi anayewajali sana wanyonge na watu wa chini wapinzani walidhani anatania?Ajenda ya upinzani ni kupinga maendeleo na kumtukana Rais Samia.
Rais Samia atatufikisha tu kama ndani ya miaka mitano akiwa na JPM ametufikisha uchumi wa kati haitachukua muda kumfikia Russia.Samia aliposema yeye ni kiongozi anayewajali sana wanyonge na watu wa chini wapinzani walidhani anatania?
Hii Nchi imetoka mbali yale mawazo na ndoto za Nyerere yanaanza kutekelezwa na Rais Samia.Rais Samia atatufikisha tu kama ndani ya miaka mitano akiwa na JPM ametufikisha uchumi wa kati haitachukua muda kumfikia Russia.