SHIMBA NGOSHA
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 295
- 374
😀😀😀😀😛 ko hata zile ally's Sport zlikuwa hazion ndan kwenye 1hz?????Hapo napinga mkuu, kipindi kile hakuna tochi za barabarani ile ruti ya Dar - Moro zilizokuwa zikiongoza hizo ruti ni double coaster sio hayo mascania unayosema wewe
ingia google ama youtube kaka😎Hapo napinga mkuu, kipindi kile hakuna tochi za barabarani ile ruti ya Dar - Moro zilizokuwa zikiongoza hizo ruti ni double coaster sio hayo mascania unayosema wewe
si kwel mkuu engine za 2H ni kizazi cha bj60's na sio VX wala V8 bali ni 6 cylinder ambazo ni 3980 cc =4.0L
kaka ni yale yale tu, yaani ikiwaMkuu soma vizuri maelezo yangu sikusema 2H....ni 2HT
Engine za 2H nazifaham kinagaubaga tena zinatumia plenger na pump bila ya directk injection
Landcrueser G na zile
Toleo za mwanzo ndo zilokua na 2h na 3B engine
😀😀😀😀😀😀😀😀😛yaani mnavyo taja haya madude naona kama mnaongea kiyunani, sielewi chochote
1jz GTE ni injini yenye nguvu sana ya Toyota ya kwenye gari ndogo hasa utaikuta kwenye Toyota Aristo na hasa ukitaka kuipatia zaidi ifungwe kwenye Toyota Artezza na ukute yenye twin turbo ni balaa kabisa.
Ni kweli kabisa hasa pia utazikuta kwenye chaser tourer ni balaa au crown zile za kizamaniZipo tangu zile mark ii kabla ya balloon, Cressida, Crown na kaka ya 2JZ yupo kwenye crown, brevis, mark x, siyo gari zote lakini cheki engine yako. 2.5 na 3.0.
Pia kuna model za GX100 zimebeba hiyo engine, hasa chaser
Zipo tangu zile mark ii kabla ya balloon, Cressida, Crown na kaka ya 2JZ yupo kwenye crown, brevis, mark x, siyo gari zote lakini cheki engine yako. 2.5 na 3.0.
Pia kuna model za GX100 zimebeba hiyo engine, hasa chaser
Ile ya Verossa cc2500 ya D4 ni kama hiyo? Maana kuna 1G-FE ya Verossa pia lakini ina cc1988.
1hd- fte kiboko nilikuwa nayo kwenye coster flan hiv tena ilikuwa gia sita hata mwenye scania macpolo alikuwa hanion nilipo pitiaHakika naweza shinda youtube naskiliza hio milio ya engine za Toyota 6 cylinder inanipa raha sana. Hata ile ya 1HD-T, 1HD-FT na 1HD-FTE i wish wajapani wangerudisha hizi engine kwenye ma VX V8 yale au wazitune Engine zake zilie kama 1HD.
1hdt fte hatar sanaSio coaster zote zinazokuja na hiyo injini, sasa ukute coaster imefungwa injini hiyo halafu ina turbo, mbona mabasi ya Yutong hayakamati hapo
Mi napenda muungurumo wake1hd- fte kiboko nilikuwa nayo kwenye coster flan hiv tena ilikuwa gia sita hata mwenye scania macpolo alikuwa hanion nilipo pitia
Altezza mara nyingi zina 3S na 1G1jz GTE ni injini yenye nguvu sana ya Toyota ya kwenye gari ndogo hasa utaikuta kwenye Toyota Aristo na hasa ukitaka kuipatia zaidi ifungwe kwenye Toyota Artezza na ukute yenye twin turbo ni balaa kabisa.
Vipi 4GR inasubiri kwa hio 1jz au 2jz maana najua 4GR ya kwenye crown ikiwa stock mark X ingawa inayo 4GR pia inasubiri, Brevis ndo habisa inaachwa mbali sana vp hizo 1jz na 2jz za kwenye hio Altezza ni stock au zina modification kadhaa?Ni kweli ila ukifunga 1jz au 2jz gte ni balaa nimeiona moja kuna jamaa wa team tezza kaifunga kwenye altezza yake yaani ni balaa
4GR inasubiri sana kwa 2jz Gte, angalia toyota supra zinazosumbua subaru kwenye drag raceVipi 4GR inasubiri kwa hio 1jz au 2jz maana najua 4GR ya kwenye crown ikiwa stock mark X ingawa inayo 4GR pia inasubiri, Brevis ndo habisa inaachwa mbali sana vp hizo 1jz na 2jz za kwenye hio Altezza ni stock au zina modification kadhaa?
Aisee kuna chaser moja balaa yani ya mwarabu mmoja arusha aisee hata mark x new model aliisoma namba.Ni kweli kabisa hasa pia utazikuta kwenye chaser tourer ni balaa au crown zile za kizamani