1jz GTE ni injini yenye nguvu sana

1jz GTE ni injini yenye nguvu sana

Hapo napinga mkuu, kipindi kile hakuna tochi za barabarani ile ruti ya Dar - Moro zilizokuwa zikiongoza hizo ruti ni double coaster sio hayo mascania unayosema wewe
ingia google ama youtube kaka😎
 
si kwel mkuu engine za 2H ni kizazi cha bj60's na sio VX wala V8 bali ni 6 cylinder ambazo ni 3980 cc =4.0L

Mkuu soma vizuri maelezo yangu sikusema 2H....ni 2HT
Engine za 2H nazifaham kinagaubaga tena zinatumia plenger na pump bila ya directk injection
Landcrueser G na zile
Toleo za mwanzo ndo zilokua na 2h na 3B engine
 
kaka ni yale yale tu, yaani ikiwa
2HT=2H yenye turbo so T inasimama baada ya Turbo,
12HT=12H(Turbo)
halikadhalika kwenye
3BT,13BT,1HZT14BT,1KZT
(kwa hiyo T isikuchanganye mkuu)

Na hizo engine ni matoleo ya TLC lakini pia kwenye coaster unazikuta na zinapiga mzigo fresh tu.
 
1jz GTE ni injini yenye nguvu sana ya Toyota ya kwenye gari ndogo hasa utaikuta kwenye Toyota Aristo na hasa ukitaka kuipatia zaidi ifungwe kwenye Toyota Artezza na ukute yenye twin turbo ni balaa kabisa.

Zipo tangu zile mark ii kabla ya balloon, Cressida, Crown na kaka ya 2JZ yupo kwenye crown, brevis, mark x, siyo gari zote lakini cheki engine yako. 2.5 na 3.0.

Pia kuna model za GX100 zimebeba hiyo engine, hasa chaser
 
Ni kweli kabisa hasa pia utazikuta kwenye chaser tourer ni balaa au crown zile za kizamani
 
Zipo tangu zile mark ii kabla ya balloon, Cressida, Crown na kaka ya 2JZ yupo kwenye crown, brevis, mark x, siyo gari zote lakini cheki engine yako. 2.5 na 3.0.

Pia kuna model za GX100 zimebeba hiyo engine, hasa chaser

mark x hazitumii JZ engines labda kama imefanyiwa swap....

mark x zinatumia GR engines

ambapo ni 4GR-FE V6 2.5
4GR-FSE V6 2.5

NA 5GR pamoja na 6GR kwa 3.0
 
Hakika naweza shinda youtube naskiliza hio milio ya engine za Toyota 6 cylinder inanipa raha sana. Hata ile ya 1HD-T, 1HD-FT na 1HD-FTE i wish wajapani wangerudisha hizi engine kwenye ma VX V8 yale au wazitune Engine zake zilie kama 1HD.
1hd- fte kiboko nilikuwa nayo kwenye coster flan hiv tena ilikuwa gia sita hata mwenye scania macpolo alikuwa hanion nilipo pitia
 
1jz GTE ni injini yenye nguvu sana ya Toyota ya kwenye gari ndogo hasa utaikuta kwenye Toyota Aristo na hasa ukitaka kuipatia zaidi ifungwe kwenye Toyota Artezza na ukute yenye twin turbo ni balaa kabisa.
Altezza mara nyingi zina 3S na 1G
 
Ni kweli ila ukifunga 1jz au 2jz gte ni balaa nimeiona moja kuna jamaa wa team tezza kaifunga kwenye altezza yake yaani ni balaa
Vipi 4GR inasubiri kwa hio 1jz au 2jz maana najua 4GR ya kwenye crown ikiwa stock mark X ingawa inayo 4GR pia inasubiri, Brevis ndo habisa inaachwa mbali sana vp hizo 1jz na 2jz za kwenye hio Altezza ni stock au zina modification kadhaa?
 
4GR inasubiri sana kwa 2jz Gte, angalia toyota supra zinazosumbua subaru kwenye drag race
 
Back
Top Bottom