Hizo sio D4, hizo ni spesho kwa wanaopenda mbio maana kuna gari inaitwa Aristo ndo inayo hio 2jz aisee 5.0km kwa lita moja mzeeThanks,kumbe siyo engine ya kitoto. Hata fuel lazima iwe na urafiki sana. Hivi hizi 1JZ na 2JZ,zote ni D-4 Engine?
Thanks,kumbe siyo engine ya kitoto. Hata fuel lazima iwe na urafiki sana. Hivi hizi 1JZ na 2JZ,zote ni D-4 Engine?
Dah! 1JZ-GTE I know it, kana cc 2500 tu lakini matata kweli barabarani, ila wakuu hivi mlishawahi kucheki uwezo wa Engine ya 2GR inayotumika kwenye Crown Athlete? Nadhani hii ni balaa zaidi
Mkuu,hili darasa ni zuri sana. Je kama nataka kubadilisha Engine ya 1G FE ili niweke 1JZ GTE(Non Turbo) kwenye Verossa inawezekana? Na je hizi Engine ni bei gani(approximate) pale Ilala Shaurimoyo?Toyota brevis zote zina 1JZ FSE (2500)na 2JZ FSE (3000) same as toyota crown na toyota Progress
Izi ndio zimeandikwa D4 kwny engine
Bt siyo turbo bt sinakimbia sana
Toyota Mark II ,Alteza na Verossa nyingi zinatumia 1JZ GE nayo siyo Turbo
Bt kuna zinazotumia 1JZ GTE izi ni noma sana
Na zina Turbo Zina nguvu sana
Bt 2JZ GTE hii sasa ndio noma sana ina single Turbo s na Twin Turbo (mean mbili Turbo)
Ipo kwny Toyota Aristo na Toyota Supra hii engine ni balaa hakuna wa kukimbiza huu moto
Tena iyo Single Turbo ndio balaa ipo kwny Supra unaweza kumod ikafika mpaka hp 1500
Inawezekana sana tuu, pale ilala around 1.5m to 2m unapataMkuu,hili darasa ni zuri sana. Je kama nataka kubadilisha Engine ya 1G FE ili niweke 1JZ GTE(Non Turbo) kwenye Verossa inawezekana? Na je hizi Engine ni bei gani(approximate) pale Ilala Shaurimoyo?
Imekaa poa. Na je fundi wa kufanya modification vipi, bei zao ni range gani?Inawezekana sana tuu, pale ilala around 1.5m to 2m unapata
Mkuu,hili darasa ni zuri sana. Je kama nataka kubadilisha Engine ya 1G FE ili niweke 1JZ GTE(Non Turbo) kwenye Verossa inawezekana? Na je hizi Engine ni bei gani(approximate) pale Ilala Shaurimoyo?
Mkuu hii vipi kuhusu ulaji wa mafuta?Iko vizuri sana ila iko very soft sio ya mikikimikiki kama 1jz na 2jz, ina umeme mwingi sana
Iko vizuri sana ila iko very soft sio ya mikikimikiki kama 1jz na 2jz, ina umeme mwingi sana
unasema?Mikiki mikiki kama ipi mkuu? Maana kiukweli ikikaa barabarani hii 1JZ na 2jz hazifukuzi huu moto
anasema eti...ser unasema?
Dah! wakuu hivi mlishawahi kucheki uwezo wa Engine ya 2GR inayotumika kwenye Crown Athlete? Nadhani hii ni balaa zaidi
Aache kuongea kitu asichokijua aulize kwanza watu wa drifts na race wakwambieanasema eti...
Aache kuongea kitu asichokijua aulize kwanza watu wa drifts na race wakwambie
Aache kuongea kitu asichokijua aulize kwanza watu wa drifts na race wakwambie
huwezi fananisha 1jz gte au 2jzgte na ka 2gr au 4gr jamaa ana mzahaMkuu inaonekana hizi Engines hauzijui, Hapa tunaongea kwa fact wakuu. Weka specs za engine hapa 1JZ-GTE, 2JZ-GTE na 2GR halafu unithibitishie which one is the best kwa racing
Hiyo mashine yako ilikuwa ni ya kawaida sana, km ulishawahi kuendesha 1jzgte au 2jzgte iliyofanyiwa mapping ndio ungenielewa zaidi, dragging race ya mwisho iliyofanyika Kenya gari za Tanzania zilizofungwa injini za 2jz gte ndio zilizokuwa zinapeform vizuri haijalishi imefungwa kwenye toyota alteza au supra lakini ilikuwa ni balaa wakenya na subaru zao walikuwa wanaipata freshNdio maana nimeuliza mikiki kama ipi, maana Mimi nazungumzia issue ya racing hapa na sio kingine.
Nilishatumia 1Jz-GTE kwenye Mark II-IRV, sio siri hii machine ilikuwa balaa. Lakini baada ya kuanza kutumia Crown Athlete GRS 184, nime experience kitu tofauti sana. Ina Accelerate very fast ukilinganisha na 1JZ.
Naomba nieleweke hapa nazungumzia kwenye upande Wa racing, hiyo mikiki mingine sijajuwa mnamaanisha kitu gani ndio maana nimeuliza.
IMENIBIDI KUINGIA MACHIMBO kuhusu hizi injini
sasa sijui wanaotaka uwezo wa zile Racing na kuscid au uwezo wa mbio Mwanza Dar es salaam?
Link hiyo hapo Top 10 Toyota Engines of All Time
sina uhakika km wamepanga kwa ubora mm nimechukua tatu tu nikaweka Horse power (red) na torque (bluu) 4GR siajaiona labda ipo inasimama km 4A-GE
2JZ-GTE
MOST OBVIOUS PLACE TO FIND ONE: '93-'98 Supra Turbo
THE NUMBERS: 320 hp and 315 lb-ft of torque
WHY YOU WANT ONE: The MKIV Supra owes its success to the inline-six-cylinder 2JZ-GTE underneath its hood.
1JZ-GTE
MOST OBVIOUS PLACE TO FIND ONE: JDM '96-'01 Chaser
THE NUMBERS: 280 hp and 280 lb-ft of torque
WHY YOU WANT ONE: You thought the 2JZ was Toyota's star engine and you're mostly right. Find the right 1JZ, though, and you've got a close second. Third-generation models (available on Japanese-only Chasers, Soarers, and Mark IIs)
4A-GE
MOST OBVIOUS PLACE TO FIND ONE: '84-'87 Corolla GT-S
THE NUMBERS: 112 hp and 97 lb-ft of torque
WHY YOU WANT ONE: The 4A-GE's 112 hp might not sound like a whole lot but, historically, this engine matters. It was one of the first fuel-injected, four-cylinder powerplants to feature a twin-cam, 16-valve layout, and it was loosely based off of Cosworth's legendary BDA (Belt Drive, A Type) series of engines. Nearly three decades later and the aftermarket continues to support Toyota's classic four-banger as much as ever.