Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Hizo sio D4, hizo ni spesho kwa wanaopenda mbio maana kuna gari inaitwa Aristo ndo inayo hio 2jz aisee 5.0km kwa lita moja mzeeThanks,kumbe siyo engine ya kitoto. Hata fuel lazima iwe na urafiki sana. Hivi hizi 1JZ na 2JZ,zote ni D-4 Engine?