1st leg robo fainali cafcl: simba pekee yake ndo timu iliyofungwa

1st leg robo fainali cafcl: simba pekee yake ndo timu iliyofungwa

Yanga mimavi timu tishio baran afrika, wamecheza mechi huku wakiwa wamefunga macho nabado wakacheza kwa ball possesion ya asilimia 99..
 
Mpaka ninapoandika makala hii timu zote zilizoingia robo FAINALI zimetoka sare ya 0-0 kasoro Al AHLY TU ndo amekutana na kibonde akamfunga. Kwa hiyo kolozdad mbovu
Hii timu imetia aibu sana, bahati mbaya zaidi waliacha kuweka nguvu kupambana na Mwarabu wakakaza shingo kwenye mechi ya wananchi.

Washauriwe wasisahau grisi wakienda Cairo.
 
Simba ni timu yenye wazee wengi wastaafu. Kwa hiyo mpaka kufikia hii hatua ya robo fainali, bado wamejitahidi sana. Mimi kwa kweli nawapongeza sana kwa kufungwa goli moja tu.
 
Back
Top Bottom