Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Mpaka ninapoandika makala hii timu zote zilizoingia robo FAINALI zimetoka sare ya 0-0 kasoro Al AHLY TU ndo amekutana na kibonde akamfunga. Kwa hiyo kolozdad mbovu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna huruma mpaka uwacheke mkuu [emoji468][emoji28][emoji28][emoji28]
'Wate mbumbumbu' kwa sauti ya mwenyekiti RageNi wawili tu... Kwa sauti ya haji manala
Bora wao wako wawili....kuna timu hy WOTE ni mbumbumbu...mizuzu iko iko tuNi wawili tu... Kwa sauti ya haji manala
Hii timu imetia aibu sana, bahati mbaya zaidi waliacha kuweka nguvu kupambana na Mwarabu wakakaza shingo kwenye mechi ya wananchi.Mpaka ninapoandika makala hii timu zote zilizoingia robo FAINALI zimetoka sare ya 0-0 kasoro Al AHLY TU ndo amekutana na kibonde akamfunga. Kwa hiyo kolozdad mbovu