20 Greatest Tanzanians Of All Time

Inamaana Freeman Mbowe hayupo hapo? Yani Nancy sumari ana impact gani jamani au unazungumzia kwny engo zipi? ...
Ongezea hapo Dimond Platnumz
Huyu hajui hata kulist kaandika kishamba sana ilibidi aseme siasa ni hawa.... mabondia hawa... fashion ni hawa... kwenye music ni hawa.... biashara na uchumi hawa....ulinzi hawa....wanasayansi hawa....

Sasa ndugu kachanganya watu wa sector zote. ..NGUMBARU KWELI HUYU JAMAA MSHAMBA MSHAMBA MWANDISHI
 
Akili zako ndogo,post Kama hii hunu jf sio ya kwanza Wala ya pili,na dunia nzima wanapoeka watu waliofanya makubwa kwenye nchi zao hawaangalii wanatoka kada ipi,so chill msomi,.
Nenda kaone dunia nobel prize hutolewa vipi kwa kuchanganya au kila sector.....WEWE NI MSHAMBA MKUUU
 
Hasan rehan Bitchuka, maalim Gurumo, meja jenerali chacha mwita waitara?, Bibi Titi mohamedi, hashim mbita, salim ahmed salim, Jaji Rugakingira
 
Snake boy wakati nipo mdogo alikua anapiga kila mtu,kavaa sana medali za kimataifa na mikanda pia, yeye na familia yake ndio chachu ya mchezo wa masumbwi,Dar es salaam na tz kwa ujumla,
Enzi zake keko kila kijana alitaka kua bondia
 
Akili zako ndogo,post Kama hii hunu jf sio ya kwanza Wala ya pili,na dunia nzima wanapoeka watu waliofanya makubwa kwenye nchi zao hawaangalii wanatoka kada ipi,so chill msomi,.
Jamaa kaona kundi analotaka liwemo hujaliweka.
 
Kwe
Kwenye upande wa mziki jee au hatuna kwa upande uo🤦
 
Snake boy wakati nipo mdogo alikua anapiga kila mtu,kavaa sana medali za kimataifa na mikanda pia, yeye na familia yake ndio chachu ya mchezo wa masumbwi,Dar es salaam na tz kwa ujumla,
Enzi zake keko kila kijana alitaka kua bondia
Ndo maana listi ya kiswazi sana hii kumbe umekulia KEKO.....
 
Mbona unatutukana sisi la Saba? Hujui tupo tumewapita wengi waliofika form 4 hata chuo kwa maarifa na mafanikio?
 
Acha upumbavu mkuu,wewe kama unaona imekaa kama unavyosema weka ya kwako,hii ni list yake na respect maoni yake,huu ni mjadala na kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake,upumbavu wako umekufanya hata kuelewa mada imekua tatizo kwako,watanzania waliotoa mchango chanya kwa nchi yetu,hili ni kapu kubwa na wewe unaweza kuweka ya kwako,Nkanini kwangu ni president Mwinyi (MHSRIP),Jella Mtagwa,Hassan Rehani Bitchuka,Mbaraka Mwinshehe,PM Salim A.Salim,Suleman Nyambui,Tido Mhando,mwalim wa kwaya s/m Kange (Tanga)nimemsahau jina lake,Gen.S.Mayunga,Gen.T.Kiwelu (down to earth gentleman),Titi Mohamed,Shakila,Bi.Kidude.
 
Haha Mimi mshamba nimekwambia natoa Nobel prize hapa??kusoma hujui angalia list ya greatest South African,angalia ya ujerumani,are you chasing for the clout??
Hakuna sehemu wanatoa list kuchanganya kada.....WEWE NI MSHAMBAA BWANA HUJUI KITU HUONI HADI KWENYE TUZO MBALI MBALI KUNA GRADING YA WATU KUTOKANA NA KADA
 
Emilio Mzena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…