much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Ni mtizamo tu ila wa kwangu wa kwanza ni jembe JPM hivi imagine bila bwawa la mwalimu Nyerere tatizo la umeme Tanzania sijui lingekuaje maana sitaki hata kuimagine.List Yangu ya Watanzania Bora ishirini waliowahi kuishi na ambao wapo hai,ambao kwa kupitia vipaji vyao au Elimu wametoa mchango chanya Kwa Jamii ya Tanzania,.
kumbuka haya ni maoni binafsi tu
1: Julius Kambarage Nyerere
2:Shabban Robert.
3:Reginald Mengi
4:Mbwana Samatta
5:King Majuto
6: Christopher Mtikila
7 P Funky Majani
8:Issa Shivji
9:Tindu Lissu
10:Said Bakheressa
11:Steven Kanumba
12:Joseph Mbilinyi(Sugu)
13:Maalim Seif Hamad
14:Filbert Bay
15:Ruge mutahaba
16:Ali Hassan Mwinyi
17:Nancy Sumari
18 PHILIP NERI NDUNGURU
19:Bibi Titi Mohamed
20:Rashid Matumla(Snake Boy)
RIP mwamba JPM mungu ndo anayejua umeifanyie nini Tanzania maana wanadamu ni wasahaurifu