Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Tatizo we mnafiki ndiyo maana haupo kwenye list.Yaani kwenye orodha yako mimi nimekosa nafasi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo we mnafiki ndiyo maana haupo kwenye list.Yaani kwenye orodha yako mimi nimekosa nafasi?
Mimi naona tuwapange kwa hela tu, haiwezekani Samia na Mwinyi nao wawe bora wakati tayar kuna kina Nyerere na JPM hapo kwenye siasa. Samatta huyu asie na impact angali hai ni bora kuliko Lisu?
Alichosema member pale juu kwamba bila kuspecify sector na list yake hii kaz itakua ngumu na ya kiswahili how comes Samatta yuko juu ya Abeid Aman Karume akili gani hii?
Hii listi bila ya MAGUFULI kuwa namba moja ni BATILIList Yangu ya Watanzania Bora ishirini waliowahi kuishi na ambao wapo hai,ambao kwa kupitia vipaji vyao au Elimu wametoa mchango chanya Kwa Jamii ya Tanzania,.
kumbuka haya ni maoni binafsi tu
1: Julius Kambarage Nyerere
2:Shabban Robert.
3:Reginald Mengi
4:Mbwana Samatta
5:King Majuto
6: Christopher Mtikila
7 P Funky Majani
8:Issa Shivji
9:Tindu Lissu
10:Said Bakheressa
11:Steven Kanumba
12:Joseph Mbilinyi(Sugu)
13:Maalim Seif Hamad
14:Filbert Bay
15:Ruge mutahaba
16:Ali Hassan Mwinyi
17:Nancy Sumari
18 PHILIP NERI NDUNGURU
19:Bibi Titi Mohamed
20:Rashid Matumla(Snake Boy)
Hii ndio 20 bora yangu
1. JULIUS NYERERE
2.JOSEPH MAGUFULI
3.JAKAYA KIKWETE
4.SAMIA SULUHU HASSAN
5. ALI HASSAN MWINYI
6.GETRUDE LWAKATARE
7.RUGE MUTAHABA.
8.DIAMOND PLUTNUMZ.
9.MBWANA SAMATTA
10. FREEMAN MBOWE
11.CHARLES KIMEI
12.REGINALD MENGI
13. SAID SALIM BAKHRESSA
14. MOHAMMED DEWJI
15. RUTH ZAIPUNA CEO NMB
16.ERNEST MASSAWE OWNER EY TZ
17.CHIFU MKWAWA
18. KINJEKITILE MAJI MAJI WAR
19. ABED AMANI KARUME
20. BIBI TITI MOHAMMED
Yaani wewe ndo umetoa masokolo
Afadhali hata ya mtoa mada..
Haya kila mtu atoe ya kwake akabandike Jikoni ..housegirl na watoto wawe wanazisoma (hawa ndo watu mashuhuri wa muda wote Tanzania kwa mujibu wa baba)
Relax mkuu usije pata depression bure ,always jitahidi usome mada ili uelewe na SIO kuuliza maswaliYaani shida JAMII FORUM SIKU HIZI WASOMI WACHACHE SANA MAJAMAA KAMA HAYA YA FACEBOOK YAMEKUJA HUKU .. toka lini uliona unachanganya kada unasema ndo wameleta impact ilibidi iwe hivi..
Music .watu wake labda watano
Siasa watu wake
Sayansi watu wake
Ulinzi watu wake
Sheria na katiba.....
SHIDA MNADHANI JAMII FORUM NI FACEBOOK KWA WASHAMBA HUMU KUWA WASOMI SIO NGUMBARU KAMA WEWE NA MWANDISHI
Nancy sumari atokeTumtoe Nani hapo akae sinde warioba
Kwenye list ya watu muhimu kwako ulitakiwa uanze na wewe mwenyewe!List Yangu ya Watanzania Bora ishirini waliowahi kuishi na ambao wapo hai,ambao kwa kupitia vipaji vyao au Elimu wametoa mchango chanya Kwa Jamii ya Tanzania,.
kumbuka haya ni maoni binafsi tu
1: Julius Kambarage Nyerere
2:Shabban Robert.
3:Reginald Mengi
4:Mbwana Samatta
5:King Majuto
6: Christopher Mtikila
7 P Funky Majani
8:Issa Shivji
9:Tindu Lissu
10:Said Bakheressa
11:Steven Kanumba
12:Joseph Mbilinyi(Sugu)
13:Maalim Seif Hamad
14:Filbert Bay
15:Ruge mutahaba
16:Ali Hassan Mwinyi
17:Nancy Sumari
18 PHILIP NERI NDUNGURU
19:Bibi Titi Mohamed
20:Rashid Matumla(Snake Boy)
Yeyw kajumlisha wewe toa list yako.Huyu hajui hata kulist kaandika kishamba sana ilibidi aseme siasa ni hawa.... mabondia hawa... fashion ni hawa... kwenye music ni hawa.... biashara na uchumi hawa....ulinzi hawa....wanasayansi hawa....
Sasa ndugu kachanganya watu wa sector zote. ..NGUMBARU KWELI HUYU JAMAA MSHAMBA MSHAMBA MWANDISHI
🤝List Yangu ya Watanzania Bora ishirini waliowahi kuishi na ambao wapo hai,ambao kwa kupitia vipaji vyao au Elimu wametoa mchango chanya Kwa Jamii ya Tanzania,.
kumbuka haya ni maoni binafsi tu
1: Julius Kambarage Nyerere
2:Shabban Robert.
3:Reginald Mengi
4:Mbwana Samatta
5:King Majuto
6: Christopher Mtikila
7 P Funky Majani
8:Issa Shivji
9:Tindu Lissu
10:Said Bakheressa
11:Steven Kanumba
12:Joseph Mbilinyi(Sugu)
13:Maalim Seif Hamad
14:Filbert Bay
15:Ruge mutahaba
16:Ali Hassan Mwinyi
17:Nancy Sumari
18 PHILIP NERI NDUNGURU
19:Bibi Titi Mohamed
20:Rashid Matumla(Snake Boy)
Kwamba YANGA haimo? UmerogwaList Yangu ya Watanzania Bora ishirini waliowahi kuishi na ambao wapo hai,ambao kwa kupitia vipaji vyao au Elimu wametoa mchango chanya Kwa Jamii ya Tanzania,.
kumbuka haya ni maoni binafsi tu
1: Julius Kambarage Nyerere
2:Shabban Robert.
3:Reginald Mengi
4:Mbwana Samatta
5:King Majuto
6: Christopher Mtikila
7 P Funky Majani
8:Issa Shivji
9:Tindu Lissu
10:Said Bakheressa
11:Steven Kanumba
12:Joseph Mbilinyi(Sugu)
13:Maalim Seif Hamad
14:Filbert Bay
15:Ruge mutahaba
16:Ali Hassan Mwinyi
17:Nancy Sumari
18 PHILIP NERI NDUNGURU
19:Bibi Titi Mohamed
20:Rashid Matumla(Snake Boy)
Ndio katika tasnia ya muziki Tanzania, Tusiangalie maisha ya mtu binafsi bali tuangalie mchango wake kwa Taifa katika nyanja husika.Majani huyu huyu?
Hilo ni jina langu mkuu wala siyo tabia.Tatizo we mnafiki ndiyo maana haupo kwenye list.
Tafuta wenye akili wakushauri tena....List usingechanganya Politician, Comediani etc etcList Yangu ya Watanzania Bora ishirini waliowahi kuishi na ambao wapo hai,ambao kwa kupitia vipaji vyao au Elimu wametoa mchango chanya Kwa Jamii ya Tanzania,.
kumbuka haya ni maoni binafsi tu
1: Julius Kambarage Nyerere
2:Shabban Robert.
3:Reginald Mengi
4:Mbwana Samatta
5:King Majuto
6: Christopher Mtikila
7 P Funky Majani
8:Issa Shivji
9:Tindu Lissu
10:Said Bakheressa
11:Steven Kanumba
12:Joseph Mbilinyi(Sugu)
13:Maalim Seif Hamad
14:Filbert Bay
15:Ruge mutahaba
16:Ali Hassan Mwinyi
17:Nancy Sumari
18 PHILIP NERI NDUNGURU
19:Bibi Titi Mohamed
20:Rashid Matumla(Snake Boy)