20 Greatest Tanzanians Of All Time


SAMIA ni bora sababu ndio mwanamke pekee aliyeshika vyeo vya juu kiserikali kuliko wanawake wote Tanzania.

Hata kama Samia hasingekuwa Rais bado ningemuweka kwa cheo chake cha nyuma cha makamu wa rais. Hakuna mwanamke aliyefikia.

Tatu bora ya wanawake waliofanikiwa tanzania yote nimeiweka hapo.

1. SAMIA sababu ya vyeo vyake kiserikali
2. MAMA LWAKATARE sababu ya mafanikio yake kibiashara
3. RUTH ZAIPUNA sababu ya mafanikio yake kwenye corporate level.

Mzee mwinyi nimemuweka pia sababu amekuwa Rais nchi zote 2. Zinazounda Tanzania.

Amekuwa Rais zanzibar na amekuwa Rais wa Tanzania. Hivyo lazima awemo
 
Hii listi bila ya MAGUFULI kuwa namba moja ni BATILI
 
Au kila mtu atoe list yake wanao jirudia mara nying ndo tuwaweke kweny list ya pamoja
 

Yaani wewe ndo umetoa masokolo

Afadhali hata ya mtoa mada..

Haya kila mtu atoe ya kwake akabandike Jikoni ..housegirl na watoto wawe wanazisoma (hawa ndo watu mashuhuri wa muda wote Tanzania kwa mujibu wa baba)
 
Yaani wewe ndo umetoa masokolo

Afadhali hata ya mtoa mada..

Haya kila mtu atoe ya kwake akabandike Jikoni ..housegirl na watoto wawe wanazisoma (hawa ndo watu mashuhuri wa muda wote Tanzania kwa mujibu wa baba)

niambie ni nani na nani nimewasahau ambao wanawapita hao watu katika mafanikio na hata katika mchango wao kwa hili Taifa la Tanzania
 
Relax mkuu usije pata depression bure ,always jitahidi usome mada ili uelewe na SIO kuuliza maswali
 
Kwenye list ya watu muhimu kwako ulitakiwa uanze na wewe mwenyewe!

Yaani unaamini Nance Sumari ni muhimu kuliko we mwenyewe?
 
Yeyw kajumlisha wewe toa list yako.
 
🤝
 
Kwamba YANGA haimo? Umerogwa
 
Tafuta wenye akili wakushauri tena....List usingechanganya Politician, Comediani etc etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…