20 Greatest Tanzanians Of All Time

Ni mtizamo tu ila wa kwangu wa kwanza ni jembe JPM hivi imagine bila bwawa la mwalimu Nyerere tatizo la umeme Tanzania sijui lingekuaje maana sitaki hata kuimagine.

RIP mwamba JPM mungu ndo anayejua umeifanyie nini Tanzania maana wanadamu ni wasahaurifu
 
Ni mtizamo tu ila wa kwangu wa kwanza ni jembe JPM hivi imagine bila bwawa la mwalimu Nyerere tatizo la umeme Tanzania sijui lingekuaje maana sitaki hata kuimagine.
Unawezaje kumuweka wa kwanza JPM alafu ukamuweka pembeni JK Nyerere, muasisi wa project. Na umesema kabisa "bwawa la Mwalimu Nyerere".
 
Hii list sababu umetoa wewe tuseme ni mawazo yako....ila imekaa ki NGUMBARU GUMBARU SANA
....sio ya kisomi.....
Kwanini mnapenda watu wote wafanane. Ameamini wasomi wengi hawatumii akili zao wanatumia akili za wengine. kwani alichokiandika hukukierewa unataka aandike kama ulivyo kalilishwa shule
 
Acha kukalili
 
Nenda kaone dunia nobel prize hutolewa vipi kwa kuchanganya au kila sector.....WEWE NI MSHAMBA MKUUU
Washamba niware wanaokalili wakiona kitu tofauti na walicho kalilishwa wanashangaa kamfano huo nawewe ni ...
 
Hata baba yako hujamuweka!!???

Adabu hauna kabisa
 
Mbona unatutukana sisi la Saba? Hujui tupo tumewapita wengi waliofika form 4 hata chuo kwa maarifa na mafanikio?
Kwanza wasomi wengi hawatumii akili zao wanatumia akili za wengine wanakalili
 
Hapana. List haijakaa kilasaba. Tena anajitahidi sana. Ila namshauri amtoe Tundu Lissu na kukuweka wewe.
 
Huyo namba 18 R.I.P alikua na kipaji kikubwa sana akichora katuni kwenye gazeti la sani,

Alifariki akiwa na umri wa miaka 24 tu.
 
Dogo kifupi huna akili kaa tulia namavyeti yako
 
Umejitahidi ila inahitaji marekebisho kidogo.
1. Mtoe Tundu Lissu weka Mama Samia Suluhu Hassan
2. Mtoe Nancy weka Jokate Mwegelo
3. Mtoe Issa Shivji weka Phillip Mangula
4. Mtoe Mwinyi mweke Magufuli.... binafsi nauchukia sana utawala dhalimu wa awamu ya 5 ila kwa upande mwingine ilihitajika akili ya uwendawazimu kufanya baadhi ya maamuzi magumu kwa manufaa ya taifa. Kwa mfano ujenzi wa bwawa la umeme ilikuwa uamuzi mgumu sana uliohitaji mtu ambaye kajitoa sadaka.
 
We jamaa yan unataka tuwaweke machawa kwamba tanzanian greatest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…