20 Greatest Tanzanians Of All Time

20 Greatest Tanzanians Of All Time

Ungefafanya sub, ondoa Mtikila, Samatta na Nancy Sumari.
Weka Jaji Warioba, Edward Lowassa na Freeman Mbowe
 
kweny michezo naona bado hatujafikia kuwa na mtu wa kuimuita huyu ni Greatest of all time sababu kwa level aliyefikia Samata tukiwa serious sana na uwekezaji wa soka la vijana hasa kweny level ya Globally vijana wengi tu iyo level wanaweza kuifikia ni vile tu soka letu ni changa japo samata nampa heshima yake kwa pale alipofika ila sio Greatest of all time in Tanzania
What about Filbert Bayi?
 
List Yangu ya Watanzania Bora ishirini waliowahi kuishi na ambao wapo hai,ambao kwa kupitia vipaji vyao au Elimu wametoa mchango chanya Kwa Jamii ya Tanzania,.

kumbuka haya ni maoni binafsi tu

1: Julius Kambarage Nyerere
2:Shabban Robert.
3:Reginald Mengi
4:Mbwana Samatta
5:King Majuto
6: Christopher Mtikila
7 P Funky Majani
8:Issa Shivji
9:Tindu Lissu
10:Said Bakheressa
11:Steven Kanumba
12:Joseph Mbilinyi(Sugu)
13:Maalim Seif Hamad
14:Filbert Bay
15:Ruge mutahaba
16:Ali Hassan Mwinyi
17:Nancy Sumari
18 PHILIP NERI NDUNGURU
19:Bibi Titi Mohamed
20:Rashid Matumla(Snake Boy)
21. Kalerema Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura ( GENTAMYCINE )

adriz na Bujibuji Simba Nyamaume mpo?
 
at list uyo kaweka rekodi nying kweny mchezo wa Riadha ila naye bado sio Greatest of all time changamoto kubwa ya nchi yetu bado hatujawekeza kweny michezo kwa level kubwa ila izo rekodi zinavunjwa vizuri tu kama tukiwa serious
Kuna mwanariadha mwingine yeyote Tanzania unaweza kumlinganisha na yeye? If your answer is NO basi Filbert Bayi is GOAT wa riadha Tanzania, lakini kama yupo mtaje.
 
Kuna mwanariadha mwingine yeyote Tanzania unaweza kumlinganisha na yeye? If your answer is NO basi Filbert Bayi is GOAT wa riadha Tanzania, lakini kama yupo mtajma
mim namanisha kwa sport in General Tanzania bado hatuna mtu wa kumuita Goat acha kujidanganya
 
Inamaana Freeman Mbowe hayupo hapo? Yani Nancy sumari ana impact gani jamani au unazungumzia kwny engo zipi? ...
Ongezea hapo Dimond Platnumz

Raymanu KE

Yani mwanamme mkata viuno na muhamasishaji ushoga na mmomonyoko wa maadili nae awe kwenye jopo la ma greatest?
 
Back
Top Bottom