Venant Ben
Senior Member
- Nov 29, 2010
- 155
- 10
Mayb kilichompa tuzo hizo ni ujumbe ndani ya mashairi yake,so producer co lazima apate pia coz hata lamar last year alionesha ushindani sana,but stil alikosa,amejipanga vizuri dat y mwaka huu kapata,so mimi sion tatizo hapo,dat z wht i thnk!jamani hapa pamenikwaza inawezekanaje msanii atambe categories tano halafu producer wake asiwe producer bora? mbona kuna walakini hapo?
Maisha halisi ya nani? wengine hatuhusu kabisa na ninashukuru hata hicho kinachoitwa Kilimanjaro awards sikijui ila kwa personality ya huyu chokoraa hapaswi hata kushinda tuzo za jalalani.
Nduka for this i can say no....
Ni neno baya kati ya maneno mabaya niliyowahi kuyasikia ya ubaguzi.....hakuna mtu anapenda maisha haya
Kila mtu anatamani kuishi maisha mazuri kama ya kwako yanayokupa jeuri ya kuita watoto wa wenzako machokora
Believe me, hata wewe umelelewa mazingira mazuri na unaweza kulea watoto wako mazingira mazuri lakini usishangae ukaja kwua na mtoto chokoraa...........Umeonesha upeo mdogo ndani ya JF kwa ubaguzi huu
Hayo yote sina tatizo nayo, ila kwa sasa 20% ndio chokoraa na haniwakilishi mimi wala watoto wangu, na hizo awards zenu ni zakichokoraa tu.
Hili neno ndilo nisilolitaka na wala sio mambo ya tuzo maana hata sitaki kuyajua.....halifai kabisa katika dunia hii tena kwa kutumika na mtu mwenye akili timamu
Do you know how many people are you offending?
Unajua uchungu wa maisha hayo kweli au kwa sababu umekulia "baba kaleta"
It will eat and rotten you for life.......wewe ni mbaguzi, tena kwa kundi underprivilaged linalohitaji support na comfort ya jamii
Kama hulitaki neno nenda BAKITA kalibadilishe ila kwa sasa 20% na wenzake wa hiyo class ni machokoraa, uchungu wa maisha hayo siujui wala sitamani kuujua. Maisha ya baba kaleta ndio yepi hayo?
Okay lets make you win it...........But the truth always stand...Everything will fall lakini ukweli utabaki kuwa wew ni mbaguzi asiefaa
Kama ningekyuwa Mungu ningekupitisha hali hii ya uchokoraa kwa dkk 1 tu ingekutosha
Hayo yote sina tatizo nayo, ila kwa sasa 20% ndio chokoraa na haniwakilishi mimi wala watoto wangu, na hizo awards zenu ni zakichokoraa tu.
atajisiaje Salama Jabir huwa hampendi jamaa kichizi na nyimbo zake
what get into you chokaraa, why the hell shud i be frustrated by some street nobody awarded some poor shit awards? ninyi na huyo chokoraa mwenzenu nendeni mkashangilie kwenye vilabu vyenu, to me he is still a douchebag as a lot of you suckers.
Weye Sharobaro bado upo eeh?wivu wa nini? kuna mtu ana wivu na uchokoraa wenu? wewe chokoraa matusi yanakuja kuja vipi? vipi mama yako akiguswa hastuki?
Weye Sharobaro bado upo eeh?
Unataka kuchafua mazingira wewe..si bure!...angalia utadhalilika!
We maskini sharo uharo! acha akili za kishamba, toa comments kama mtu mwenye busara, do not talk as if ur coming from the toilet with unwiped ass! kama humkubali 20% ni haki yako lakini ni upuuzi kumdhalilisha, that's garbage and ur brain belongs to the fish market dustbin!