20% na Kili Awards

20% na Kili Awards

jamani hapa pamenikwaza inawezekanaje msanii atambe categories tano halafu producer wake asiwe producer bora? mbona kuna walakini hapo?
Mayb kilichompa tuzo hizo ni ujumbe ndani ya mashairi yake,so producer co lazima apate pia coz hata lamar last year alionesha ushindani sana,but stil alikosa,amejipanga vizuri dat y mwaka huu kapata,so mimi sion tatizo hapo,dat z wht i thnk!
 
atajisiaje Salama Jabir huwa hampendi jamaa kichizi na nyimbo zake
 
Maisha halisi ya nani? wengine hatuhusu kabisa na ninashukuru hata hicho kinachoitwa Kilimanjaro awards sikijui ila kwa personality ya huyu chokoraa hapaswi hata kushinda tuzo za jalalani.

Nduka for this i can say no....

Ni neno baya kati ya maneno mabaya niliyowahi kuyasikia ya ubaguzi.....hakuna mtu anapenda maisha haya

Kila mtu anatamani kuishi maisha mazuri kama ya kwako yanayokupa jeuri ya kuita watoto wa wenzako machokora

Believe me, hata wewe umelelewa mazingira mazuri na unaweza kulea watoto wako mazingira mazuri lakini usishangae ukaja kwua na mtoto chokoraa...........Umeonesha upeo mdogo ndani ya JF kwa ubaguzi huu
 
Hayo yote sina tatizo nayo, ila kwa sasa 20% ndio chokoraa na haniwakilishi mimi wala watoto wangu, na hizo awards zenu ni zakichokoraa tu.
 
Hayo yote sina tatizo nayo, ila kwa sasa 20% ndio chokoraa na haniwakilishi mimi wala watoto wangu, na hizo awards zenu ni zakichokoraa tu.

Hili neno ndilo nisilolitaka na wala sio mambo ya tuzo maana hata sitaki kuyajua.....halifai kabisa katika dunia hii tena kwa kutumika na mtu mwenye akili timamu

Do you know how many people are you offending?

Unajua uchungu wa maisha hayo kweli au kwa sababu umekulia "baba kaleta"

It will eat and rot you for life
.......wewe ni mbaguzi, tena kwa kundi underprivilaged linalohitaji support na comfort ya jamii
 
Hili neno ndilo nisilolitaka na wala sio mambo ya tuzo maana hata sitaki kuyajua.....halifai kabisa katika dunia hii tena kwa kutumika na mtu mwenye akili timamu

Do you know how many people are you offending?

Unajua uchungu wa maisha hayo kweli au kwa sababu umekulia "baba kaleta"

It will eat and rotten you for life
.......wewe ni mbaguzi, tena kwa kundi underprivilaged linalohitaji support na comfort ya jamii

Kama hulitaki neno nenda BAKITA kalibadilishe ila kwa sasa 20% na wenzake wa hiyo class ni machokoraa, uchungu wa maisha hayo siujui wala sitamani kuujua. Maisha ya baba kaleta ndio yepi hayo?
 
Kama hulitaki neno nenda BAKITA kalibadilishe ila kwa sasa 20% na wenzake wa hiyo class ni machokoraa, uchungu wa maisha hayo siujui wala sitamani kuujua. Maisha ya baba kaleta ndio yepi hayo?

Okay lets make you win it...........But the truth always stand...Everything will fall lakini ukweli utabaki kuwa wew ni mbaguzi asiefaa

Kama ningekyuwa Mungu ningekupitisha hali hii ya uchokoraa kwa dkk 1 tu ingekutosha

Am out.......you are low to fit my shoes
 
Okay lets make you win it...........But the truth always stand...Everything will fall lakini ukweli utabaki kuwa wew ni mbaguzi asiefaa

Kama ningekyuwa Mungu ningekupitisha hali hii ya uchokoraa kwa dkk 1 tu ingekutosha

Ndio maana waswahili husema Mungu si Athumani bwana chokoraa.
 
Hayo yote sina tatizo nayo, ila kwa sasa 20% ndio chokoraa na haniwakilishi mimi wala watoto wangu, na hizo awards zenu ni zakichokoraa tu.

If I may ask, who the hell are you mpaka uwakilishwe na 20%. For ur your info (I trust uelewi kutokana na uelewa mdogo) 20% awakilishi arrogant creatures, get it ur too kuwakilishwa na 20%. I am sorry If ur frustrated kwa matajiri wako kushindwa kupata tuzo don't take ur frustrations to him. Just hit the free ways!
 
teh teh! Unajua bana, kuna chokoraa wengi tu ambao Baba zao ni matajiri. Halafu cha ajabu sasa ...kuna matajiri wengi tu ambao akili zao ni za kichokoraa. Dunia sijui ikoje bana. Dah! lakini ukisoma posts zao utaelewa. God Bless wale woote wanaoteseka na mifumo kandamizi.
 
Asilimia 20. Na mimi nakubali saaana hakuna wa kumfananishanae hapa Bongo. Combination sound man Walter big up!
 
what get into you chokaraa, why the hell shud i be frustrated by some street nobody awarded some poor shit awards? ninyi na huyo chokoraa mwenzenu nendeni mkashangilie kwenye vilabu vyenu, to me he is still a douchebag as a lot of you suckers.

We maskini sharo uharo! acha akili za kishamba, toa comments kama mtu mwenye busara, do not talk as if ur coming from the toilet with unwiped ass! kama humkubali 20% ni haki yako lakini ni upuuzi kumdhalilisha, that's garbage and ur brain belongs to the fish market dustbin!
 
wivu wa nini? kuna mtu ana wivu na uchokoraa wenu? wewe chokoraa matusi yanakuja kuja vipi? vipi mama yako akiguswa hastuki?
Weye Sharobaro bado upo eeh?
Unataka kuchafua mazingira wewe..si bure!...angalia utadhalilika!
 
We maskini sharo uharo! acha akili za kishamba, toa comments kama mtu mwenye busara, do not talk as if ur coming from the toilet with unwiped ass! kama humkubali 20% ni haki yako lakini ni upuuzi kumdhalilisha, that's garbage and ur brain belongs to the fish market dustbin!

wewe, familia yako, 20% na hao kili awards woote machokoraa, nawashauri tafuteni kazi mfanye mjikwamue na umasikini, shida zinawaathiri akili zenu.
 
du kuna watu wameshiba namna hii kiasi cha kumkufuru Mungu.....mabata usungu:embarassed2:
 
Huyu dogo nyimbo zake huwa hazipigwi Clouds FM jamaa wanambania kwa kuwa hayuko chini yao lakini Mungu kamuona na kazi zake ziko juu sana hata umbanie vipi kitaa atapendwa na atashine
 
kijana anafaa kabisa tuzo zote tano alizopata kapata kihalali kabisa,muziki wake wote anaopiga una meseji kubwa kwa jamii,kijana anajituma sio sharobaro
 
Hongera 20% sioni sababu watu wachache wanamuonea wivu, poleni masharobaro, big up 20%
 
Back
Top Bottom