Venant Ben
Senior Member
- Nov 29, 2010
- 155
- 10
Mayb kilichompa tuzo hizo ni ujumbe ndani ya mashairi yake,so producer co lazima apate pia coz hata lamar last year alionesha ushindani sana,but stil alikosa,amejipanga vizuri dat y mwaka huu kapata,so mimi sion tatizo hapo,dat z wht i thnk!jamani hapa pamenikwaza inawezekanaje msanii atambe categories tano halafu producer wake asiwe producer bora? mbona kuna walakini hapo?