2001 Dudubaya(Konki) na Mr Nice walipopigana kumgombea Barbou

Moro United ilipouzwa Dar iliishia wapi?
 
Kumbe huu mchezo ni kipaji cha Tanzania one anayetoka Kijani.
 
Waligombania kipato cha upambe toka kwa huyo tajiri na si vingenevyo kama unavyotaka tuamini.

Sijui chochote but your argument is very weak. Moto gani utawaka kwa such a friction ...
 
Mkuu rm tell me,
Ulkua na maana gani kuanzisha huu uzi,
Target useme dudu na nice ni ma gasho au list lake limekugusa unataka umsingizie.
Kama kweli muhenga,leo umejiongezea cheo kipya,muhenga mjinga .
Thread zingine bure kbsa.
#Pathetic
 
Fuatilia Mkuu... spoon feeding sio nzuri.... kwa ufupi tu... Moro United... ndio timu inayoongoza kuuzwa na kubatizwa jina jipya kila baada ya kipindi flani... ndio hiyo hiyo iliwahi kuitwa Kajumulo World Soccer....
Nipe link ya document yoyote itakayonisaidia
 
Mmechelewa si mnhamuweka wazi mnasubir mpka awataje ndio na nyie mnajifanya mnakuja na yenu,Dudu alimtandika Nice simply kwa kuwa Nice miaka hyo alikuwa ana kiburi nyodo nk
Konki! Konki! Konki master! Kawashika pabaya
 
Unapambana kutengeneza empire for years af anakuja tu mwanasihasa from no where anavunja kila kitu.. THIS IS AFRICA
 
Merey Balhabou ni mshikaji wangu wa siku nyingi sana.
Dudubaya nilifahamiana naye miaka ya 1998's akiwa anasoma ufundi pale Kilakala Morogoro njia panda ya kwenda Kichangani.
Mr Nice Mkenda naye ni rafiki yangu kupitia kwa baba yake ambaye kwenye 1996's alikuwa anaendesha grocery moja maeneo ya Sabasaba Mjini Morogoro.
SIO SIRI MEREY NJUGU ZILIKUWA ZIMEMTEMBELEASANA MIAKA YA 1995's-2005's.
Swala la Dudubaya na Nice kumgombania Merey ni la kweli maana jamaa(Merey) alikuwa anawachafua vijana wengi sema sio maarufu ila hawa wawili walifahamika sana kwamba ni mizigo ya Merey.
 
Tushikamane.....
Dudu Baya wkt anasoma TUSHIKAMANE.... alikuwa anashinda soko la mitumba 77! Baadae alihamia Getto 1 la mshkaji wk, maeneo ya Mafiga TANK LA ZAMANI...Milano Str....
Mkuu uko vizuri... Mamende unafahamiana nao.... Mapunga unafahamiana nao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…