Aisee...!Jk alikuwa anajua jinsi ya kula sahani moja na wabaya wake, ilikuwa kimya kimya
Mkapa nae Bahkresa hatamsahau, alimwanga uga wake baharini....
Unajua wengi wenu 2001,2005 mlikuwa na miaka 10-13! Ndio maana mnashangaa vitu vingi sana.Kumbe kulipiziana ni kawaida kwenye politiksi eeh
Unajua wengi wenu 2001,2005 mlikuwa na miaka 10-13! Ndio maana mnashangaa vitu vingi sana.
Merey Balhabou ni mshikaji wangu wa siku nyingi sana.
Dudubaya nilifahamiana naye miaka ya 1998's akiwa anasoma ufundi pale Kilakala Morogoro njia panda ya kwenda Kichangani.
Mr Nice Mkenda naye ni rafiki yangu kupitia kwa baba yake ambaye kwenye 1996's alikuwa anaendesha grocery moja maeneo ya Sabasaba Mjini Morogoro.
SIO SIRI MEREY NJUGU ZILIKUWA ZIMEMTEMBELEASANA MIAKA YA 1995's-2005's.
Swala la Dudubaya na Nice kumgombania Merey ni la kweli maana jamaa(Merey) alikuwa anawachafua vijana wengi sema sio maarufu ila hawa wawili walifahamika sana kwamba ni mizigo ya Merey.
Kumbe mnnaanzia huko mikoani mkija Dar huku mnajidai wanaume wa Dar kumbe mambo yenu mmeanzia huko maporini kwenu!Tushikamane.....
Dudu Baya wkt anasoma TUSHIKAMANE.... alikuwa anashinda soko la mitumba 77! Baadae alihamia Getto 1 la mshkaji wk, maeneo ya Mafiga TANK LA ZAMANI...Milano Str....
Mkuu uko vizuri... Mamende unafahamiana nao.... Mapunga unafahamiana nao...
Tatizo ni ukuaji wa Technologia, sasa hivi ni rahisi sana kupata taarifa muhimu tofauti na zamani,Unajua wengi wenu 2001,2005 mlikuwa na miaka 10-13! Ndio maana mnashangaa vitu vingi sana.
Huyu jamaa wanaemzungumzia nakumbuka around 2002 au 2005 hivi kuna ndugu yangu Dj alikuwa anafahamiana nae, alitaka aniagize full set ya muziki kwa ajili ya club gani sijui alikuwa anataka kufungua.Hahahahaaa.. unajikuta mzee wewe
Mkuu azam united, sio ambayo ilikuwa inaitwa mbagala market? Baada ya kununuliwa ndio ikaitwa azam FC!!!moro United ilinunuliwa za bakhresa na sasa inaitwa azam sports club
Huyu jamaa wanaemzungumzia nakumbuka around 2002 au 2005 hivi kuna ndugu yangu Dj alikuwa anafahamiana nae, alitaka aniagize full set ya muziki kwa ajili ya club gani sijui alikuwa anataka kufungua.
Miaka hio niko kwenye mapambano ya maisha! Siku ingine nikikwambia mimi mjomba ako unielewe.Miaka hiyo niko primary bado
DOGO, BADO UNAYO ILE LISTI YAKO UCHWARA YA MASHOGA?Naona mnaanza kuja na zilipendwa , nendeni mkajibu shutuma za Mamba
KONKI NI PUNGA!Naona KONKI MASTER kawavuluga mapunga mpaka mmepagawa mmeanza kuleta mambo ya 2001.
Tulieni dawa iwaingie sawa
Miaka hio niko kwenye mapambano ya maisha! Siku ingine nikikwambia mimi mjomba ako unielewe.
Aisee!!
Kumbe bado toto wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaweza kuta nyinyi ni kina Misago sijui B...12 mnatunga hizi mambo...Merey Balhabou ni mshikaji wangu wa siku nyingi sana.
Dudubaya nilifahamiana naye miaka ya 1998's akiwa anasoma ufundi pale Kilakala Morogoro njia panda ya kwenda Kichangani.
Mr Nice Mkenda naye ni rafiki yangu kupitia kwa baba yake ambaye kwenye 1996's alikuwa anaendesha grocery moja maeneo ya Sabasaba Mjini Morogoro.
SIO SIRI MEREY NJUGU ZILIKUWA ZIMEMTEMBELEASANA MIAKA YA 1995's-2005's.
Swala la Dudubaya na Nice kumgombania Merey ni la kweli maana jamaa(Merey) alikuwa anawachafua vijana wengi sema sio maarufu ila hawa wawili walifahamika sana kwamba ni mizigo ya Merey.
it means ulijiunga JF ukiwa la saba mwaka 2006Aisee!!
Kumbe bado toto wewe 🤣🤣🤣🤣
Mkuu hii ni second law au third law of motion...nimeshau kidogoAya sasa...For every action there is equal and opposite reaction
Huyo barbou ndo alikuaje....kama kuna picha yake tafadhar