Stavros Myles
JF-Expert Member
- Jun 7, 2020
- 350
- 391
Anaitwa Merey Balhabou (ruksa kurekebisha)
Alikuwa Mmiliki wa Moro United ya akina Kaseja, Nsajigwa, Boban, Nsa Job, Katalay na wengineo!
Wakati Msoga anagombea 2005, RC Mashishanga aliwakusanya matajiri wa Morogoro na kumpa nguvu Sumaye!
Msoga alipofika Morogoro hakupata kile alichotarajia, aliambulia wafuasi wachache kwa ushawishi wa watu wake km Hassan Bantu (Fundi wa zamani wa kushona uniform za shule zote za secondary Morogoro)
Baada ya Msoga kushinda, kilichompata Balhabou ndio kile sisi watoto wa Tandika tunaita KIKICHOMPATA MAMBA NA BOKO KITAMPATA!
Balaaa juu ya balaaa! Moro United ikauzwa DSM! Nyumba yake krb na JUWATA "ikawaka" moto afu FIRE wakaenda km mashuhuda! Baadae ikaja kesi ya wizi wa USD pale Barclay's!
Konk master kumbe na yeye ....huyu konki sijui alitolea wapiView attachment 924455
Merey Balhabou ni mshikaji wangu wa siku nyingi sana.
Dudubaya nilifahamiana naye miaka ya 1998's akiwa anasoma ufundi pale Kilakala Morogoro njia panda ya kwenda Kichangani.
Mr Nice Mkenda naye ni rafiki yangu kupitia kwa baba yake ambaye kwenye 1996's alikuwa anaendesha grocery moja maeneo ya Sabasaba Mjini Morogoro.
SIO SIRI MEREY NJUGU ZILIKUWA ZIMEMTEMBELEASANA MIAKA YA 1995's-2005's.
Swala la Dudubaya na Nice kumgombania Merey ni la kweli maana jamaa(Merey) alikuwa anawachafua vijana wengi sema sio maarufu ila hawa wawili walifahamika sana kwamba ni mizigo ya Merey.
Merey kawala wasanii wengi sanaaa na hilo halina ubishi, kinyaiya, mla rambi rambi
2001 - 26Unajua wengi wenu 2001,2005 mlikuwa na miaka 10-13! Ndio maana mnashangaa vitu vingi sana.
Hivi yupo wapi??? Sijamsikia muda mrefuKumbe, mi nlisikia walikua wanamgombania tajiri wa chuga papaa king
Maandishi hayafutiki ni kama roho haifi
DuuhBarbuu ndo alikuwa amenogewa na mikito ya konki.Kama jux anavyotafutwa sn na wapuliwaji et anawakita vzr
Hahah so funnyBaada ya Msoga kushinda, kilichompata Balhabou ndio kile sisi watoto wa Tandika tunaita KIKICHOMPATA MAMBA NA BOKO KITAMPATA!
Anaitwa Merey Balhabou (ruksa kurekebisha)
Alikuwa Mmiliki wa Moro United ya akina Kaseja, Nsajigwa, Boban, Nsa Job, Katalay na wengineo!
Wakati Msoga anagombea 2005, RC Mashishanga aliwakusanya matajiri wa Morogoro na kumpa nguvu Sumaye!
Msoga alipofika Morogoro hakupata kile alichotarajia, aliambulia wafuasi wachache kwa ushawishi wa watu wake km Hassan Bantu (Fundi wa zamani wa kushona uniform za shule zote za secondary Morogoro)
Baada ya Msoga kushinda, kilichompata Balhabou ndio kile sisi watoto wa Tandika tunaita KIKICHOMPATA MAMBA NA BOKO KITAMPATA!
Balaaa juu ya balaaa! Moro United ikauzwa DSM! Nyumba yake krb na JUWATA "ikawaka" moto afu FIRE wakaenda km mashuhuda! Baadae ikaja kesi ya wizi wa USD pale Barclay's!
Aisee kumbe figisu zimeanza zamaniBalaaa juu ya balaaa! Moro United ikauzwa DSM! Nyumba yake krb na JUWATA "ikawaka" moto afu FIRE wakaenda km mashuhuda! Baadae ikaja kesi ya wizi wa USD pale Barclay's!
Mkuu mambo ni mengi! Kilicho mlostisha mwarabu jamaa alikuwa anapiga dili zakuwauzia mafuta waasi wa kongo akishirikiana na makamo wa ben! Baada ya kabila kustukia mchezo alimweleza ben. Ben alimwita makamo wake akamweleza uchafu wake anao fanya na pia anaipaka nchi matope. Baada ya siku chache makamo wake alifariki na misukosuko ya mwarabu ilianzia hapo.
Inaonekana unawafahamu sanaMerey Balhabou ni mshikaji wangu wa siku nyingi sana.
Dudubaya nilifahamiana naye miaka ya 1998's akiwa anasoma ufundi pale Kilakala Morogoro njia panda ya kwenda Kichangani.
Mr Nice Mkenda naye ni rafiki yangu kupitia kwa baba yake ambaye kwenye 1996's alikuwa anaendesha grocery moja maeneo ya Sabasaba Mjini Morogoro.
SIO SIRI MEREY NJUGU ZILIKUWA ZIMEMTEMBELEASANA MIAKA YA 1995's-2005's.
Swala la Dudubaya na Nice kumgombania Merey ni la kweli maana jamaa(Merey) alikuwa anawachafua vijana wengi sema sio maarufu ila hawa wawili walifahamika sana kwamba ni mizigo ya Merey.
Rhabhekhaaa!!
Majiraniii hukuuuuuu.Meli Barbou, mmiliki wa vituo vya mafuta vya TIOT. Dudubaya na Mr. Nice waliwahi kuzitwanga wakimgombea huyu jamaa,
Makerubi wa Tahira, mkujee hapa mjisomee wenyeweee.Merey Balhabou ni mshikaji wangu wa siku nyingi sana.
Dudubaya nilifahamiana naye miaka ya 1998's akiwa anasoma ufundi pale Kilakala Morogoro njia panda ya kwenda Kichangani.
Mr Nice Mkenda naye ni rafiki yangu kupitia kwa baba yake ambaye kwenye 1996's alikuwa anaendesha grocery moja maeneo ya Sabasaba Mjini Morogoro.
SIO SIRI MEREY NJUGU ZILIKUWA ZIMEMTEMBELEASANA MIAKA YA 1995's-2005's.
Swala la Dudubaya na Nice kumgombania Merey ni la kweli maana jamaa(Merey) alikuwa anawachafua vijana wengi sema sio maarufu ila hawa wawili walifahamika sana kwamba ni mizigo ya Merey.
πππ kumbe Tahira ni Punga kitamboo.Tushikamane.....
Dudu Baya wkt anasoma TUSHIKAMANE.... alikuwa anashinda soko la mitumba 77! Baadae alihamia Getto 1 la mshkaji wk, maeneo ya Mafiga TANK LA ZAMANI...Milano Str....
Mkuu uko vizuri... Mamende unafahamiana nao.... Mapunga unafahamiana nao...
Naaam! Nimesoma hadi nimesisimka,