Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viwanja vipo vingi sana mkuu, sema vipo katika hali mbaya kwa sasa.Hakuna viwanja. Kabisa.
Sisi pia tutafanikiwa katika kupambana na gonjwa hili kwa nguvu za Mungu/Mola. Ila sidhani kama mpaka kufikia 2031 COVID - 19 bado itakuwa ni tishio Afrika/duniani kwa ujumla.Mu7 keshapiga Chanjo hana Wasiwasi...
Hakika ipo siku moja Mungu atasikia maombi yetuTuombe tupate viongozi wenye kuona 'mbali' na si 'mbele'.
Kmc wanadaiwa 33million.Ripoti ya CAG imezungumzia nini kuhusu sekta ya michezo??
Kwani hao TFF wana account humu?Wazo bora mdogo wangu Soja. Ngoja TFF waje kutoa tamko
mhhhKmc wanadaiwa 33million.
Mbona ni pesa nyingi sana mkuu?Kmc wanadaiwa 33million.
Usiamini sana reports za humu JF wee dogoMbona ni pesa nyingi sana mkuu?
Source pleaseKmc wanadaiwa 33million.
Soma report ya CAG.Source please
Okay bossSoma report ya CAG.
Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia kwamba huyu CAG wa sasa alikuwaga mhasibu mkuu wa TANROADSSoma report ya CAG.
Unaguna nini sasa wee jamaa mbona mnafiki hivyo?mhhh
Mkuu, 2031 ni miaka 10 kutoka sasa, je hatuwezi kuboresha hivi vilivyopo kwa sasa ndani ya muda huo ambao mimi ninaona kuwa ni mwingi sana...
Upo sahihi sana mkuu. Ndani ya miaka 10 tunaweza kujiandaa vizuri sanaNi rahisi sana kuandaa UEFA na siyo World Cup.
Nenda South Africa, angalia viwanja vyao na miundombinu mingine kama Barabara. Inatakiwa mtu anayeishi Gongolamboto aende uwanja wa mkapa ndani ya dk 15-30. Inawezekana? Dar yenyewe barabaran zina folen mpaka kero.
Mbona sijazungumzia Tanzania kuandaa kombe la dunia mkuu. Hili suala umelitoa wapi?Bado sana Tanzania kuandaa kombe la dunia
Upo sahihi sana mkuu. Ndani ya miaka 10 tunaweza kujiandaa vizuri sana
Mbona sijazungumzia Tanzania kuandaa kombe la dunia mkuu. Hili suala umelitoa wapi?
Viwanja vipo vingi sana mkuu, sema vipo katika hali mbaya kwa sasa.