Wakubwa shikamoniππ2006 ulikuwa wapi?
Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? πππ
Tena sio mwanao tu babu yakoDuh aisee kumbe we bado kijana kabsa. Kumbe unaweza kuwa unabishana na mwanao humu. Nilikuwa seco tayari zama hizi
Kweli hasa siyo utaniTupo na wajukuu zetu humu
Duh kumbe muhenga kidogForm one
Duh wewe wa 97 bila kukoseaWakubwa shikamoniππ
Huu mwaka nilikua darasa la pili huko matimila
Sio cLa pili A
ππ duh humu tuna wazazi wetu kabisaStd 6
Very young & naive
Ahahaa ulichelewa wapi?Aise nimeenda age sasa napaswa kubihave kama ningekua mtu wa kurukia madem fastafasta ungesoma darasa moja na mwanagu
ππDuh wewe wa 97 bila kukosea
Na ndio mwaka ulio nizaa mama kumbe ukumaliza shule πππ au ulimaliza kimchongoForm 3
Ila ni dogo tu sema ndio ivyoππ
Sawa mkuu ndio mimi ni dogo ππIla ni dogo tu sema ndio
Kadogo wapande zipi ππSawa mkuu ndio mimi ni dogo ππ
Nilikuwa nakuchukulia mzee kumbe bado young
Ulitotolewa kwenye incubator π€£π€£Na ndio mwaka ulio nizaa mama kumbe ukumaliza shule πππ au ulimaliza kimchongo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nilikuwa nakuchukulia mzee kumbe bado young
Mama mbona unanifanyia ivyo πππUlitotolewa kwenye incubator π€£π€£