Hapo kwa kina Col.Rusubi ? Akiwepo Nguvava(rip) na kina Ngonyani(rip)Chuoni buhare
Dogo muongo ww una miaka 26 unakuja kutudanganya hapa eti ulikuwa umezaaliwa duuh haya ban2006 ulikuwa wapi?
Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? πππ
dah we dogo sana mm nipo sekondari hapo cha pili..teyari2006 ulikuwa wapi?
Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? πππ
nilikuwa nafanya kazi kwenye yadi moja hivi pale kurasini shimo la udongo, nilishika hela si mchezo laki ilikuwa kama buku kwangu.2006 ulikuwa wapi?
Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? πππ
Namiliki simu yangu ya kwanza Motorola L6 chapati2006 ulikuwa wapi?
Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? πππ
Salimia wakubwa kwanzaπ‘π‘π‘2006 ulikuwa wapi?
Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? πππ
Tena na kumwambia acha upumbavu ππDuu. Hivi kumbe huku kuna young gen namna hii. JF poa sana, inakutanisha class ambazo kwa kawaida hawawezi kutana na kudiscuss mambo kwa mtindo unaofanyika hapa.
Umezaliwa 2006 ila kupitia JF unaweza mwambia aliyezaliwa 1976 "Acha utoto"
Acha utanNilikuwa form one
Kipindi iko ulikuwa unacheza lede ukilud shart la ugolo sio jeupe tenaaDarasa la nne
Wewe ndio mdogo wa mwisho
Lakini ingekuwa live pengine usingefanya either sababu ya umri, cheo au umaarufu.Tena na kumwambia acha upumbavu ππ