Kaparo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,072
- 5,053
Hapo kwa kina Col.Rusubi ? Akiwepo Nguvava(rip) na kina Ngonyani(rip)Chuoni buhare
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwa kina Col.Rusubi ? Akiwepo Nguvava(rip) na kina Ngonyani(rip)Chuoni buhare
Dogo muongo ww una miaka 26 unakuja kutudanganya hapa eti ulikuwa umezaaliwa duuh haya ban2006 ulikuwa wapi?
Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? 😂😂😂
dah we dogo sana mm nipo sekondari hapo cha pili..teyari2006 ulikuwa wapi?
Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? 😂😂😂
nilikuwa nafanya kazi kwenye yadi moja hivi pale kurasini shimo la udongo, nilishika hela si mchezo laki ilikuwa kama buku kwangu.2006 ulikuwa wapi?
Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? 😂😂😂
Namiliki simu yangu ya kwanza Motorola L6 chapati2006 ulikuwa wapi?
Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? 😂😂😂
Salimia wakubwa kwanza😡😡😡2006 ulikuwa wapi?
Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? 😂😂😂
Tena na kumwambia acha upumbavu 😂😂Duu. Hivi kumbe huku kuna young gen namna hii. JF poa sana, inakutanisha class ambazo kwa kawaida hawawezi kutana na kudiscuss mambo kwa mtindo unaofanyika hapa.
Umezaliwa 2006 ila kupitia JF unaweza mwambia aliyezaliwa 1976 "Acha utoto"
Acha utanNilikuwa form one
Kipindi iko ulikuwa unacheza lede ukilud shart la ugolo sio jeupe tenaaDarasa la nne
Wewe ndio mdogo wa mwisho
Lakini ingekuwa live pengine usingefanya either sababu ya umri, cheo au umaarufu.Tena na kumwambia acha upumbavu 😂😂