2006 Ulikuwa wapi

Unatakiw uwe unatusalimia ma brother wako, alafu usituweke sana kusubiri mwendelezo kwenye story zako. Mimi ni baba yako mdogo kabisa. .
Sema bamdogo umenitelekeza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Marhabaaa... Sio poa. Kipindi hicho nacheza game la mpira la vidoti kwenye motorola ya bi mkubwa, enzi hizo anatumia line ya Celtel
Ndio airetel ya sasaivi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji1787] acha kabisa ndio mnatongozana uko siku ya kukutana kila mtu anamvizia mwenzie anakuchungulia anakuona bibi anakuja kukuanzishia thread jf ina wazee
Umeongea kwa uchungu yakishakukuta? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…