2006 Ulikuwa wapi

2006 Ulikuwa wapi

Duh kumbe uhuni ujaanza jana watu kama ninyi ndio mnafaa kuitwa wahuni sio hawa wanaosokota nywele
Enzi hizo Kuna majamaa tulisoma nao wametutangulia madarasa kwanza picha inaanza shule ya msingi wanavaa bukta alaf miguu imejaa manyoya kishenzi, darasan wanakaa nyuma ticha akiuliza swali wananuna ili wasisimamishwe kujibu
Hata wakifanya makosa walim wanaogopa kuwachapa inabidi waitishwe kikao Kama vile walim wanaongea na wazazi kumbe wanafunzi
 
Umenikumbusha mbali sana kuna jamaa tulikuwa tuna mtania gwalu alikuwa mkubwas sana af zero brain
 
Enzi hizo Kuna majamaa tulisoma nao wametutangulia madarasa kwanza picha inaanza shule ya msingi wanavaa bukta alaf miguu imejaa manyoya kishenzi, darasan wanakaa nyuma ticha akiuliza swali wananuna ili wasisimamishwe kujibu
Hata wakifanya makosa walim wanaogopa kuwachapa inabidi waitishwe kikao Kama vile walim wanaongea na wazazi kumbe wanafunzi
nmechekaa jamani 🤣🤣🤣, ila we jamaa
 
2006 ulikuwa wapi?

Mimi nilikuwa ndio nazaliwa wewe je? 😂😂😂
Duu. Hivi kumbe huku kuna young gen namna hii. JF poa sana, inakutanisha class ambazo kwa kawaida hawawezi kutana na kudiscuss mambo kwa mtindo unaofanyika hapa.

Umezaliwa 2006 ila kupitia JF unaweza mwambia aliyezaliwa 1976 "Acha utoto"
 
Back
Top Bottom