2006 Ulikuwa wapi

2006 Ulikuwa wapi

Hayo tutayafanya siku nyingine,hapa acha tuenjoy tu....... tuendelee kukumbuka pale wanzengo walipokuwa naweza kuta mwenzangu hapa akataja sehemu kumbe tulikuwa pamoja
Ww kila siku usinikimbie kunipa madini
 
Enzi hizo Kuna majamaa tulisoma nao wametutangulia madarasa kwanza picha inaanza shule ya msingi wanavaa bukta alaf miguu imejaa manyoya kishenzi, darasan wanakaa nyuma ticha akiuliza swali wananuna ili wasisimamishwe kujibu
Hata wakifanya makosa walim wanaogopa kuwachapa inabidi waitishwe kikao Kama vile walim wanaongea na wazazi kumbe wanafunzi
Mimi ndo hao majamaa mambo vipi dogo😎😎
 
Back
Top Bottom