Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #141
Ya wapi iyo mkuu nitajue mkoaChekechea kambarage primary school
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya wapi iyo mkuu nitajue mkoaChekechea kambarage primary school
Si mbaya nimeona mengi kiasi, naweza kukupa abcd ambazo hujawahi kusikiaKumbe mzee duh dingi uko vzr
Ikaja kuitwa zein sijui kwanini walikuwa wanachange majinNaaaam... Imekuwa muda kidogo aisee 😂😂
Mkongwe wa nini sasa?Duh mkongwe kidog
Marahaba kijana wangu, mwenzio Sasa Yuko kidato cha SitaShikamoo baba
Naziomba fatherSi mbaya nimeona mengi kiasi, naweza kukupa abcd ambazo hujawahi kusikia
Duh mimi ndio namaliz fomr four mwakanMarahaba kijana wangu, mwenzio Sasa Yuko kidato cha Sita
Wewe na wenzako..hata andika yenu najikuta nasoma mara mbili mbili .kwenye r mnatundika l...a mnatundika h ...boringKisa mimi au 😂😂😂
Mkongwe hapa dunian kashazeeka kidogo ila sio sana 😂😂Mkongwe wa nini sasa?
Hayo tutayafanya siku nyingine,hapa acha tuenjoy tu....... tuendelee kukumbuka pale wanzengo walipokuwa naweza kuta mwenzangu hapa akataja sehemu kumbe tulikuwa pamojaNaziomba father
Iyo ni shida ya lafudhi yangu tuWewe na wenzako..hata andika yenu najikuta nasoma mara mbili mbili .kwenye r mnatundika l...a mnatundika h ...boring
Ww kila siku usinikimbie kunipa madiniHayo tutayafanya siku nyingine,hapa acha tuenjoy tu....... tuendelee kukumbuka pale wanzengo walipokuwa naweza kuta mwenzangu hapa akataja sehemu kumbe tulikuwa pamoja
Nakutelekeza gani nasikia siku hizi unavuta bangi. Humalizi story zako online😀Sema bamdogo umenitelekeza 😂😂😂
Yale ni makampuni, Huenda hisa zinakuwa zinauzwa baada ya muda fulani. Hivyo wanunuzi wapya huamua kubadili jinaIkaja kuitwa zein sijui kwanini walikuwa wanachange majin
Hahaha. Ndio JF.Nisinge thubutu ila hapa mpaka mtumzima na mwita wewe mwehu
Mkuu shemeji anaendeleaje😂😂Nakutelekeza gani nasikia siku hizi unavuta bangi. Humalizi story zako online😀
Mimi ndo hao majamaa mambo vipi dogo😎😎Enzi hizo Kuna majamaa tulisoma nao wametutangulia madarasa kwanza picha inaanza shule ya msingi wanavaa bukta alaf miguu imejaa manyoya kishenzi, darasan wanakaa nyuma ticha akiuliza swali wananuna ili wasisimamishwe kujibu
Hata wakifanya makosa walim wanaogopa kuwachapa inabidi waitishwe kikao Kama vile walim wanaongea na wazazi kumbe wanafunzi
Ndio tena navuta uku pembeni kuna k vantNakutelekeza gani nasikia siku hizi unavuta bangi. Humalizi story zako online😀