2008-2025 JWTZ imezuia mapinduzi ya kijeshi ya Jeshi la Rwanda (RPF) mara 8 ndani ya Burundi

Tulia ,kamuulize Rais wako kagame.

Na Jiulize juzi ktk speech yake kwenu kwa nini alikwepa kutamka Tanzania ,akaishia kulaumu South africa.
Hawa watoto wa elfu 2 hawajui kitu. Huyo mwenetu tumemuonyesha njia hiyo amekulia hapa hapa na akipata shida break ya kwanza ni hapa ndio kwao.Madogo hawajui historia wanapotezwa na hizi PROPAGANDA ambazo tumewafunza sisi🤗🤗🤗
 
Hizo ni porojo tu, Kagame atafaidika kwa kipi na mapinduzi huko Burundi??
 
Jw ilikuwa mji wa Sake kuzuia m23 wasifike Goma.
M23 wameiteka Sake yenyewe iliyokuwa inalindwa na tayari Goma iliyokuwa inalindwa na mataifa zaidi ya 10 iko mikononi kwa M23 na sasa wanaelekwa Bukavu kwa kuvimba. Sasa jiulize hao walinzi wa sake wamekimbilia wapi?
Majeshi ya serikali na washirika wake wamekimbia kuokoa roho zao.

Wakati M23 wakisonga mbele hakuna wa kuwazuia. Souz Afrika alitaka kushindana nao akapigigishwa hasara ya askari 13 saiv kuufyata anasubiri huruma za Kagame ili aokote Mairi zake na kukusanya vifaa vyake.
 
Hizi chai ni kama ukakamavu wa jeshi kali mahiri la Congo, wabongo wengi humu hawajui sababu na history ya hii vita, Nyerere aliichambua vizuri sana na kuna clip nyingi tuu ziangalieni, na M23 sio Rwandese ni Congolese 💯
 
yule niyombare alimpindua nkurunzinza,jwtz walimrudisha madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…