2008-2025 JWTZ imezuia mapinduzi ya kijeshi ya Jeshi la Rwanda (RPF) mara 8 ndani ya Burundi

2008-2025 JWTZ imezuia mapinduzi ya kijeshi ya Jeshi la Rwanda (RPF) mara 8 ndani ya Burundi

Usikae ukawaamini waAfrica katika maamuzi yeyote yale, suala la DRC linahitaji akili nyingi kuliendea na sio miguvu, tukienda vibaya pale Goma Ile vita inaweza kusambaa sehemu kubwa EA.

M23 na Rwanda wanahitaji kuhusishwa Sana kwenye kila mazungumzo ya kutatua huu mgogoro, vinginevyo ni kuiingiza kanda yote hii kwenye crisis ambayo hatuwezi kuwa na majibu nayo zaidi ya kwenda tena kwa mabeberu.

DRC ni eneo ambalo lina umafia mwingi sana wa kimataifa unaohusisha WaAfrica wenyewe, Wazungu, Wachina, Wahindi nk, wapo mpaka head of states wa Africa wanaonufaia na DRC.
Unaweza ukafikiri unapigana na M23 au Rwanda ukajikuta unapigana hata na wananchi wako aka Oligarchs wanaonufaika na DRC.
Tishekedi anayelindwa abaki madarakani, Je anadeserve kubaki madarakani kwa manufaa ya WaCongo, amefanya nini Tishekedi kuhakikisha umoja mshikamano wa WaCongo wote, amefanya nini kulifanya jeshi la DRC liwe uwezo wa kulinda mipaka yake?
Amefanya nini Tishekedi kuhakikisha Congo na majirani zake wanaishi pamoja?

SADC wanakwenda DRC kumkomoa PK na M23 au wanakwenda kutatua tatizo la DRC?.
SADC, Munisco, EAC nk wapo DRC kabla ya M23 hawajafika Goma nini walifanya?.
2012, M23 wallikuwepo Goma, mazungumzo yakifanyika wakaondoka Goma, nini kilifanyika baada ya hapo kutatua tatizo?
SADC/EAC wakifika Kigali na kumtoa PK wanaweza kuzifanya Rwanda na Burundi ziwe na amani? wanaweza kurudisha amani ya kudumu DRC?
 
Sawa, lakini sisi tuna shida ya maji ya uhakika licha ya kuwa na ziwa victoria, Tanganyika, Nyasa, bahari ya hindi. Sasa Jeshi letu kuisaidia Burundi kuzuia mapinduzi sisi inatusaidia nini?

Nchini mwetu kuna ufisadi na upigaji mkubwa wa rasilimali za Taifa, bandari inauzwa, Utekaji watu, watoto wadogo masikini kama Soka wanatekwa na kupotezwa mazima. Chaguzi zetu zinegeuka chafuzi, kura hazithaminiwi tena. Sasa hilo jeshi letu kuzuia mapinduzi huko burundi inatusaidia nini sisi?

Yaani wewe unazima moto nyumba ya jirani wakati kwako panaungua!. Ajabu sana hii.

I'm not impressed at all.
 
JW ndio mtawala Ukanda huu wa East africa, Hakuna Jeshi Bora kama Jeshi la wananchi la Tanzania.
 
Watanzania tunaishi sana kwa historia.

Jeshi imara halinunui silaha, jeshi imara ni lile linalotengeneza silaha zake zenyewe.

Ukiwa unanunua silaha, tambua na wenzio wananunua silaha, mkipigana vita mtambue hiyo ni vita baina yenu na wale wanaowauzia silaha.

WaAfrica tuache unyumbu, tusome, tujifunze, tukuze vizazi bora, tupendane, tuache kuwa vibaraka.

Africa hakuna jeshi lenye nguvu, Africa kuna vibaraka tu wa nchi na magenge ya wauza silaha duniani kifupi waAfrica NI wanasesere.
 
Mkuu unaweza kuwa na silaha ukashindwa kuzitumia pia.
 
Jeshi lenye nguvu haliwezi hata kushona sare zake lenyewe, halina hata tekinolojia ya kutengezea mabuti ya askari wake wala uwezo wa kutengeza hata gobore!

Acheni ujinga nyinyi na pride ya kiuwendawazimu!.

Majeshi ya waafrika yapo zaidi kulinda watawala wasipinduliwe lakini si kulinda wananchi wala rasilimali zao.

Ndiyo maana watawala wake wanaingia mikataba mibovu ya kuuza rasilimali za nchi na majeshi yapo yanakodoa macho tu!
 
Mkuu unaweza kuwa na silaha ukashindwa kuzitumia pia.

Kuna kununua na kutengeneza.
Anayetengeneza silaha hawezi kushindwa kuzitumia, anayenunua silaha anaweza kuwa kilaza tu mwenye hela.

Muarabu Hana technolojia anategemea kununua, Israeli ana technolojia ndio maana anawasumbua
 
Hii backup ya US, Israel na France mbona siioni? Kwanza wamekosana na France na hawataki kutumia kifaransa kama lugha kuu ya kigeni. Angalia hapa France walivyo against Rwanda France seeks UN resolution naming Rwanda as backer of M23 rebels in DRC
Hapana wako pamoja, hizi ni mbinu zao kuonekana hawamuungi mkono.

Kwa USA inatafuta kuingia DRC kwa nguvu zote kwa sasa, kwa sababu China inamiliki migodi ya cobalt kwa zaidi ya 50%, ndiyo maana hata Trump alivyoulizwa swali kuhusu mgogoro alikwepa kutoa majibu ya moja kwa moja, aliishia kusema ni mgogoro mgumu.

Vile vile jaribia la kumpindua Tshikedi lililofeli, inahisi kulikuwa na mkono wa hawa mamagharibi.
 
Hizo ni porojo tu, Kagame atafaidika kwa kipi na mapinduzi huko Burundi??
Inaonekana hujui mambo mengi ya ukanda huu. Uzuri kwa sasa taarifa ni nyingi fuatilia ujue ni kwa nini.

Nenda pia kasikilize hotuba ya Rais wa Burundi Ndayishimiye aliyoitoa juzi akiwa anahutubia mabalozi Bujumbura.
 
Kuanzia mwaka 2008 hadi mwaka huu 2025, waasi wa kitusi wa Burundi likiwemo kundi la Red Tabara wamekuwa wakifadhiliwa na kupewa mafunzo na Rwanda kwa lengo la kufanya mapinduzi nchini Burundi.

Mara nane zote wamejaribu kupindua serikali ya Burundi kwa nyakati tofauti ila wamekuwa wakishindwa vibaya mno kutokana na msaada wa JWTZ kwa nchi ya Burundi.

Jaribio mojawapo ni lile la kumpindua Nkurunzinza (R.i. p) akiwa Tanzania 🇹🇿, lililofeli vibaya mno na kwa aibu.

JWTZ popote pale itakapotia mkono, RPF haiwezi kufanikiwa na haitakaa ifanikiwe.

Mgogoro wa Congo wa sasa, Rwanda ana back up ya Israel, Qatar, USA & France.

Congo kwa upande wake, wakuu wa vyombo vya ulinzi, na mawaziri wa ulinzi wa nchi zote za SADC Wanakutana kinshasha kwa ajili ya hatua za haraka za kuizuia Rwanda na njama za kumpindua Tshikedi, hawa SADC nchi nyingi zina buck up ya China na Russia.

Ikiwa Rwanda atakataa kuwithdraw jeshi lake kutoka Congo, basi uhenda vita ikafika hadi Kigali.

Mwisho, popote pale JWTZ itakapo tia nguvu, Rwanda haitakaa ifanikiwe kamwe.
Mmhh nitakuwa wa mwisho kuziamini hizi habari
 
Hizo ni porojo tu, Kagame atafaidika kwa kipi na mapinduzi huko Burundi??
Porojo tupu mzee.....wameshindwa kushirikiana kutuliza hali DRC wanatafuta visingizio na mambo yasiyo na maana.
 
Kuanzia mwaka 2008 hadi mwaka huu 2025, waasi wa kitusi wa Burundi likiwemo kundi la Red Tabara wamekuwa wakifadhiliwa na kupewa mafunzo na Rwanda kwa lengo la kufanya mapinduzi nchini Burundi.

Mara nane zote wamejaribu kupindua serikali ya Burundi kwa nyakati tofauti ila wamekuwa wakishindwa vibaya mno kutokana na msaada wa JWTZ kwa nchi ya Burundi.

Jaribio mojawapo ni lile la kumpindua Nkurunzinza (R.i. p) akiwa Tanzania 🇹🇿, lililofeli vibaya mno na kwa aibu.

JWTZ popote pale itakapotia mkono, RPF haiwezi kufanikiwa na haitakaa ifanikiwe.

Mgogoro wa Congo wa sasa, Rwanda ana back up ya Israel, Qatar, USA & France.

Congo kwa upande wake, wakuu wa vyombo vya ulinzi, na mawaziri wa ulinzi wa nchi zote za SADC Wanakutana kinshasha kwa ajili ya hatua za haraka za kuizuia Rwanda na njama za kumpindua Tshikedi, hawa SADC nchi nyingi zina buck up ya China na Russia.

Ikiwa Rwanda atakataa kuwithdraw jeshi lake kutoka Congo, basi uhenda vita ikafika hadi Kigali.

Mwisho, popote pale JWTZ itakapo tia nguvu, Rwanda haitakaa ifanikiwe kamwe.
JWTZ wapo Africa yakat saivi kuna amani na tumewapelekea lugha ya Kiswahili na kujenga shule za science na technology, JWTZ wapo sudan ya kusin, msumbiji Lebanon na burund Mungu aibark jesh letu pendwa kwa kutambua utu wa bnadam wote
 
Hizi chai ni kama ukakamavu wa jeshi kali mahiri la Congo, wabongo wengi humu hawajui sababu na history ya hii vita, Nyerere aliichambua vizuri sana na kuna clip nyingi tuu ziangalieni, na M23 sio Rwandese ni Congolese 💯
Nyerere huyo huyo alikuwa anasapoti Biafra Nigeria.

Hakuna anayekataa kwamba nyie siyo Congolese, tatizo lenu mnataka kujitenga muwe na nchi yenu peke yenu yaana Republic of Kivu, kitu ambacho akitatokea.

Ni sawa na masai walivyohamishwa Ngorongoro kwamba wangeshika silaha na kuanza kupambana na Tanzania wakidai wapewe nchi yao ya Ngorongoro.

kabila aliwatambua akawaweka jeshini ila alivyotaka kuwahamisha ili mkafanye kazi maeneo mengine ya congo ,mkakataa mkaanza vita tena.

Nyerere alikosea mambo mengi sana.
 
Kuanzia mwaka 2008 hadi mwaka huu 2025, waasi wa kitusi wa Burundi likiwemo kundi la Red Tabara wamekuwa wakifadhiliwa na kupewa mafunzo na Rwanda kwa lengo la kufanya mapinduzi nchini Burundi.

Mara nane zote wamejaribu kupindua serikali ya Burundi kwa nyakati tofauti ila wamekuwa wakishindwa vibaya mno kutokana na msaada wa JWTZ kwa nchi ya Burundi.

Jaribio mojawapo ni lile la kumpindua Nkurunzinza (R.i. p) akiwa Tanzania 🇹🇿, lililofeli vibaya mno na kwa aibu.

JWTZ popote pale itakapotia mkono, RPF haiwezi kufanikiwa na haitakaa ifanikiwe.

Mgogoro wa Congo wa sasa, Rwanda ana back up ya Israel, Qatar, USA & France.

Congo kwa upande wake, wakuu wa vyombo vya ulinzi, na mawaziri wa ulinzi wa nchi zote za SADC Wanakutana kinshasha kwa ajili ya hatua za haraka za kuizuia Rwanda na njama za kumpindua Tshikedi, hawa SADC nchi nyingi zina buck up ya China na Russia.

Ikiwa Rwanda atakataa kuwithdraw jeshi lake kutoka Congo, basi uhenda vita ikafika hadi Kigali.

Mwisho, popote pale JWTZ itakapo tia nguvu, Rwanda haitakaa ifanikiwe kamwe.
Wewe ni mwongo sana, hiyo ya Nkurunzinza yale Mapinduzi yalifeli kwa sababu ndani ya jeshi la Nkurunziza walikuwemo waliosaliti yale Mapinduzi wakawa upande wa Nkurunziza ata hakukua na dalili ya JWTZ ata 1

Nyinyi kazi yenu ni kubeba mabegi mazito mgongoni na kubeba mbwa wa vita kwenye sherehe zenu tunaona huku

Ni Ruwanda pekee kwa Afrika mashariki ndio wana jeshi bora zaidi pamoja na udogo wa nchi yao nendeni mukawachezee muone, maiti za wanajeshi wenu zinaonekana huko kila siku zikirejeshwa Tz wakila vichapo kutoka kwa M23.,
 
Back
Top Bottom