2008-2025 JWTZ imezuia mapinduzi ya kijeshi ya Jeshi la Rwanda (RPF) mara 8 ndani ya Burundi

2008-2025 JWTZ imezuia mapinduzi ya kijeshi ya Jeshi la Rwanda (RPF) mara 8 ndani ya Burundi

Kuanzia mwaka 2008 hadi mwaka huu 2025, waasi wa kitusi wa Burundi likiwemo kundi la Red Tabara wamekuwa wakifadhiliwa na kupewa mafunzo na Rwanda kwa lengo la kufanya mapinduzi nchini Burundi.

Mara nane zote wamejaribu kupindua serikali ya Burundi kwa nyakati tofauti ila wamekuwa wakishindwa vibaya mno kutokana na msaada wa JWTZ kwa nchi ya Burundi.

Jaribio mojawapo ni lile la kumpindua Nkurunzinza (R.i. p) akiwa Tanzania 🇹🇿, lililofeli vibaya mno na kwa aibu.

JWTZ popote pale itakapotia mkono, RPF haiwezi kufanikiwa na haitakaa ifanikiwe.

Mgogoro wa Congo wa sasa, Rwanda ana back up ya Israel, Qatar, USA & France.

Congo kwa upande wake, wakuu wa vyombo vya ulinzi, na mawaziri wa ulinzi wa nchi zote za SADC Wanakutana kinshasha kwa ajili ya hatua za haraka za kuizuia Rwanda na njama za kumpindua Tshikedi, hawa SADC nchi nyingi zina buck up ya China na Russia.

Ikiwa Rwanda atakataa kuwithdraw jeshi lake kutoka Congo, basi uhenda vita ikafika hadi Kigali.

Mwisho, popote pale JWTZ itakapo tia nguvu, Rwanda haitakaa ifanikiwe kamwe.
Narudia, Kagame is a parasite hapa Great Lakes.....ni muuwaji na hafai kuishi hapa duniani. His time is up!
 
Wewe ni mwongo sana, hiyo ya Nkurunzinza yale Mapinduzi yalifeli kwa sababu ndani ya jeshi la Nkurunziza walikuwemo waliosaliti yale Mapinduzi wakawa upande wa Nkurunziza ata hakukua na dalili ya JWTZ ata 1

Nyinyi kazi yenu ni kubeba mabegi mazito mgongoni na kubeba mbwa wa vita kwenye sherehe zenu tunaona huku

Ni Ruwanda pekee kwa Afrika mashariki ndio wana jeshi bora zaidi pamoja na udogo wa nchi yao nendeni mukawachezee muone, maiti za wanajeshi wenu zinaonekana huko kila siku zikirejeshwa Tz wakila vichapo kutoka kwa M23.,
Hizi habari ulizoandika akiziona Kagame atakuua. Sababu atajua wewe unataka yeye afe kwa kumchonganisha na TZ Kijeshi. Usije ukarudia tena kuandika hivi. Haya maneno copy nenda kapaste kwenye page ya Kagame kule X atakutafuta akuue.
 
Kuna kununua na kutengeneza.
Anayetengeneza silaha hawezi kushindwa kuzitumia, anayenunua silaha anaweza kuwa kilaza tu mwenye hela.

Muarabu Hana technolojia anategemea kununua, Israeli ana technolojia ndio maana anawasumbua
We jamaa acha kutuchosha, ni nchi ngapi duniani zinatengeneza silaha zake mwenyewe, Urusi anaagiza drones Iran, Israel ana washinda waarabu kwa misaada ya western na ana tuhisa ya ku modify silaha za mmarekani.
 
Back
Top Bottom