Hizo engines ulizozitaja zimekuja miaka ya 2010+..Engines bora za BMW zinaanzia B58 kwenda mbele.
Hizi za nyuma ilikuwa ni hit n miss.
Kama hela ipo, chukua BMW yenye engines za B58 au S58.
Mkuu kwa Benz unshauri ipi ndio affordable kwa mazingira yetu, ufundi nk.320i ya BMW atleast uchukue ya kabla ya 2007 au baada ya 2015 kama pesa ipo.
Kuanzia 2008 mpaka 2014 ukichukua 320i, ukajichongee kabisa na jeneza. N43 engines na N20 engines ni majanga makubwa.
C200 kwa 2010 inakuja na M271 ikiwa na Supercharger kikubwa tu hiyo M271 iwe ni KE18ML na siyo DE18ML
Although pia nayo ina shida kwenye timing chain kama zilivyo engine nyingi za European Makers.
Kila la heri.
Aisee haya Maneno ni wewe umeongea au simu yako iko hacked??....anaongelea crown na wajerumani??Ni kweli crown ni ndege ya chini,hakuna benzi wala bmw inaifikia kwa comfotability,ukimpa lift mtu hasa hawa dada zetu huwa hawataki kushuka
Nimeongelea comfortability tu sio prestige wala durability,mjapani yuko vizuri kwenye comfortability amini usiamini,ukipanda VX V 8 lile la samia ni kama uko peponi,hakuna gari ya mzungu inaifikia kwa comfortabilityWewe jamaa upo serious? Unavyosema hakuna Benz wala BMW umeunganisha na S Class na 7 series humo ndani sio? Hebu kuwa serious usianze kufananisha wajerumani na crown ndg
Ila kwenye V8 Bana sidhani kama kuna gari inaweza kufanana nayo....yale madude ni zaidi ya peponiNimeongelea comfortability tu sio prestige wala durability,mjapani yuko vizuri kwenye comfortability amini usiamini,ukipanda VX V 8 lile la samia ni kama uko peponi,hakuna gari ya mzungu inaifikia kwa comfortability
Pale mjapani alijipinda kwelikweliIla kwenye V8 Bana sidhani kama kuna gari inaweza kufanana nayo....yale madude ni zaidi ya peponi
Mimi mwenyewe nimeduwaa kusikia Crown inakuwa mentioned in the same breath with Germany machines. Nilichojifunza kila mtu husifia chake 😂Aisee haya Maneno ni wewe umeongea au simu yako iko hacked??....anaongelea crown na wajerumani??
Vp Mercedes anayotembelea Rais wa North Korea n.k? Ukitaja level za magari ya Marais bado Europeans wanawakalisha WajapanIla kwenye V8 Bana sidhani kama kuna gari inaweza kufanana nayo....yale madude ni zaidi ya peponi
Vp Mercedes anayotembelea Rais wa North Korea, limousines n.k? Ukitaja level za magari ya Marais bado Europeans wanawakalisha Wajapan. Hata hizo V8 kwa Mercedes G wagon Brabus zinakaa vzr sn. Wajerumani mnisamehe kwa kuikosea heshima Brabus kuilinganisha na v8Nimeongelea comfortability tu sio prestige wala durability,mjapani yuko vizuri kwenye comfortability amini usiamini,ukipanda VX V 8 lile la samia ni kama uko peponi,hakuna gari ya mzungu inaifikia kwa comfortability
Crown royal na mark x zina smooth and comfortable riding kwa sababu ya kuwa V6 Engine ambayo ina CC kubwa kulinganisha na uzito wa gari hivyo engine haisumbuki sana kusukuma gari hata kwenye mlima mkali. Crown athlete na mark x sport hazina comfortable riding kwa sababu suspension zake ni stiff kwa ajili ya kuwa na stability control hasa kwenye kona kali, rapid braking na kufanya drifting.Hii kusema comfortability ya Mercie haiifikii Crown unatafuta ugomvi na Wajerumani halafu mimi mwenyewe sijakuelewa hapo labda unieleweshe zaidi
Asante kwa elimu nzuri Mbute Marebhwa Maghoche. Vp tukiachana na comfortability, kipengele gani kingine unaweza kulinganisha Germany machines na hizi Crown na Mark x?Crown royal na mark x zina smooth and comfortable riding kwa sababu ya kuwa V6 Engine ambayo ina CC kubwa kulinganisha na uzito wa gari hivyo engine haisumbuki sana kusukuma gari hata kwenye mlima mkali. Crown athlete na mark x sport hazina comfortable riding kwa sababu suspension zake ni stiff kwa ajili ya kuwa na stability control hasa kwenye kona kali, rapid braking na kufanya drifting.
Mercedes benz na bmw zilizo chini ya cc3000 hazina comfort ride licha ya kuwa reliable. Utasikia muunguruma wa engine kwenye gas pedal hasa unapolazimisha gari ku-pick up maxim speed haraka wakati horse power yake iko chini. Kiufupi bmw na Mercedes zenye comfortable riding ni zile zenye engine kubwa ambazo baadhi yetu hatuwezi kuzimiliki.
Utofauti wa hizi bmw na Mercedes za kawaida ni kwamba zimetengenezwa kwa expensive parts compared to crown and mark x.
Engine nzuri kwenye E90 series ni N46 na N52 kwa Natural aspurated au N55 kwa turbo.N46 ni nzuri
Gari za kijerumani lazima ujue kuchagua engine. Siyo tu engine yoyote utalia.Chukua Mercedes, engine yeyote ile kulingana na budget yako.
Hizo engines zimetoka baada ya 2015Engines bora za BMW zinaanzia B58 kwenda mbele.
Hizi za nyuma ilikuwa ni hit n miss.
Kama hela ipo, chukua BMW yenye engines za B58 au S58.
Hiyo M57 ni one of the best engine BMW wamewahi kuunda.Hizo engines ulizozitaja zimekuja miaka ya 2010+..
Engines za nyuma ya hapo ni hit n miss..!!!!???
M30 aka Big Six
M50
M60
M54
M57
S38
S50/52
Itakuwa huzifahamu engines za BMW..!
Mkuu kwa Benz unshauri ipi ndio affordable kwa mazingira yetu, ufundi nk.
Hahah kwa hiyo LC200 series ndio gari comfortable kuliko gari yoyote ya mjerumani? Aiseeee.Nimeongelea comfortability tu sio prestige wala durability,mjapani yuko vizuri kwenye comfortability amini usiamini,ukipanda VX V 8 lile la samia ni kama uko peponi,hakuna gari ya mzungu inaifikia kwa comfortability
Wajapan wana vituko sana wanapotaka kulinganisha magari yao na Germany machines 😅Hahah kwa hiyo LC200 series ndio gari comfortable kuliko gari yoyote ya mjerumani? Aiseeee.
Yes kwenye upande wa Diesel hiyo M57 ni hatari.. Jinsi walivyozipangilia turbo zake 2 ndio hatari zaidi..Hiyo M57 ni one of the best engine BMW wamewahi kuunda.
Hata kuipata gari yenye engine kama hiyo inauzwa mtandaoni utatafuta sana. Wazungu wameshaziona ni dili.