PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Kawaida mkuuNilitaka nishangae bwana wewe kutokuwepo kwenye huu uzi....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaida mkuuNilitaka nishangae bwana wewe kutokuwepo kwenye huu uzi....
2003 km niko sahihi lakin bado huwezi kulinganisha crown ya 2003 vs S class ya mwaka huo mkuu. S Class sio level za kucompete na Crown aisee. Tuwe na heshima kidogoGRS180 ilitoka lini?
Engine kama hiyo ya gari lako imelast sokoni miaka minne tu. Wakati N46 imekaa sokoni miaka 12.Mimi naona watu wanaongea tu mimi na bmw 2010 cc 2000 ya 320I ? Nimenunua 2020 zaid ya kumwaga oil ,kubadili brake pad aijawai nisumbua nilinunua ikiwa na km 38000 mpaka sasa nakaribia 80000 na ndio gari yangu kwa kilakitu na before nilikuwa na crown but ilinisumbua sana kwenye ac ilikuwa inauwa compresa but for bmw series sijawai juta
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Engine kama hiyo ya gari lako imelast sokoni miaka minne tu. Wakati N46 imekaa sokoni miaka 12.
Ndani ya hiyo miaka minne BMW wameshaburuzwa mahakamani mara kadhaa.
Unless kama gari yako ina N46 maana inaonekana N46 bado waliiacha kwa baadhi ya masoko. Ila kama ni N43 ni suala la muda tu.
Una picha tuone labda?Japan gari ya Waziri mkuu ni crown
utumiaji mbovu na mabadiliko ya hali ya hewaTatizo ni nini, mbona huko yanapotoka hayapelekwi sana kwa mafundi?
Utumiaji mbovu..PERIOD!utumiaji mbovu na mabadiliko ya hali ya hewa
Mkuu kuwa serious kidogo. Wakati grs180 inatoka S class iliopo sokoni ni W220. Huwezi kulinganisha chochote Kati ya hizo gari.Hata S Class iliyokuwa sokoni wakati GRS180 inatoka ilikuwa haitii mguu.
Do sema nimeagiza x3 2012 x drive 28I ENGEN code DBA-WX20 kwa uzoefu wako ipoje,Engine kama hiyo ya gari lako imelast sokoni miaka minne tu. Wakati N46 imekaa sokoni miaka 12.
Ndani ya hiyo miaka minne BMW wameshaburuzwa mahakamani mara kadhaa.
Unless kama gari yako ina N46 maana inaonekana N46 bado waliiacha kwa baadhi ya masoko. Ila kama ni N43 ni suala la muda tu.
Mkuu kuwa serious kidogo. Wakati grs180 inatoka S class iliopo sokoni ni W220. Huwezi kulinganisha chochote Kati ya hizo gari.
Btw Grs180 wameiga shape ya hio W220. Kuanzia grille hadi shape ya taa. Cheki picha zake utanielewa.
S class ikitoka inakuwa mbele 10yrs ya gari nyingi za kawaida. Unafikiri VIps wengi duniani kwanini wanatumia s class?
Gosh.Legacy ya S Class huwezi ilinganisha na ya Crown. Hilo halina mjadala kabisa. Ndio maana sijasema just any S-Class, nimeilinganisha na that specific model, the W220. The S-Class that everyone hates.
Nimewahi kuwa kwenye hizo gari mbili. GRS180 sio mchezo. Achana na 4GR zilizozagaa kwetu. Tafuta 3GR au 2GR ambayo ina options za kutosha ndio utanielewa. GRS180 ilikuwa ahead of its time. Angalia hii hapa.
By the way, kwa miaka ya hizi karibuni, Crown ni mostly kwa ajili ya JDM, VIPs wa Kijapan ndio gari zao hizo.
Cc2000 au Cc3000?Do sema nimeagiza x3 2012 x drive 28I ENGEN code DBA-WX20 kwa uzoefu wako ipoje,
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Bado sijapata mkuu.. JituMirabaMinne amejitahidi kuelezea kuhusu BMW na engines zake in details ila hatujapata mtaalam aliyeielezea Mercedes Benz in depthNatumae mleta mada ulipata muongozo...
Cc2000 ni N20.
Asante,sema ina km 107000 na sijajua sasa kama nibiashara au nikweli jamaa wa be forward aliniambia japan gari ikishafika km 100 inafanyiwa over all so iyo gari ishafanyiwa na timing chain washabadili maana nilitaka kuchukua ya 80000km aka niambia nichukue hiiCc2000 ni N20.
Hiyo engine ina reliability issuess na kubwa kuliko ni timing chain na rod bearing.
Lakini pia kuna issues kama Injectors oil filter gasket na injectors.
Engine ilikaa sokoni miaka miwili tu baada ya hapo wakawa wamepata mbadala wake ambayo B48 na baada ya miaka 6 wakaamua kuachana kabisa na N20.
Inaweza ikakusukuma kwa 100k km zingine.Asante,sema ina km 107000 na sijajua sasa kama nibiashara au nikweli jamaa wa be forward aliniambia japan gari ikishafika km 100 inafanyiwa over all so iyo gari ishafanyiwa na timing chain washabadili maana nilitaka kuchukua ya 80000km aka niambia nichukue hii
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Asante,sema ina km 107000 na sijajua sasa kama nibiashara au nikweli jamaa wa be forward aliniambia japan gari ikishafika km 100 inafanyiwa over all so iyo gari ishafanyiwa na timing chain washabadili maana nilitaka kuchukua ya 80000km aka niambia nichukue hii
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ok boss nilisha ilipia inafaka JanuaryChukua mashine hiyo, hamna gari ambayo haiharibiki. Follow maintainance schedules tuu. Nina X5 e70 N62B48(Most unreliable) YOM 2009. Kazi yangu kubwa ni kubadilisha seals tuu ikianza kuvuja, other parts ziko online bei chee.