2010 BMW 320i vs Mercedes Benz C Class

2010 BMW 320i vs Mercedes Benz C Class

Mimi naona watu wanaongea tu mimi na bmw 2010 cc 2000 ya 320I ? Nimenunua 2020 zaid ya kumwaga oil ,kubadili brake pad aijawai nisumbua nilinunua ikiwa na km 38000 mpaka sasa nakaribia 80000 na ndio gari yangu kwa kilakitu na before nilikuwa na crown but ilinisumbua sana kwenye ac ilikuwa inauwa compresa but for bmw series sijawai juta

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Siwezi kukubishia hiyo ni experience ya kwako. Wengi wanalalamika matatizo around mileage uliyopo sasa mpaka 100k. Na ni matatizo ambayo yanakuja msururu ndani ya muda mfupi.

BMW e90 ya N52 na N46 zinauzika sana. Is not a coincidence.

Angalia e90 zote zinazouzwa bei rahisi zina engine code gani?
 
2010 Bmw E90 318i LCI ina N46 engine na valvetronic. Valvetronic huwa inasumbua lkn dawa yake ni kuchomoa plug ya eccentric shaft sensor. Hii engine inataka matunzo kwa maana ya replacements za parts nyingi sana pamoja na engine oil kila kilometer 5000. List ni ndefu sana ila ukifanya vyote you’ ll be good. Vanos solenoids. Crankshaft sensor. Camshaft sensors. Spark plugs. Engine air filter. Engine oil filter. MAF sensor.. Coollant. Etc. Kusafisha intake valve mara kwa mara ni muhimu sana pia.
 
Mimi naona watu wanaongea tu mimi na bmw 2010 cc 2000 ya 320I ? Nimenunua 2020 zaid ya kumwaga oil ,kubadili brake pad aijawai nisumbua nilinunua ikiwa na km 38000 mpaka sasa nakaribia 80000 na ndio gari yangu kwa kilakitu na before nilikuwa na crown but ilinisumbua sana kwenye ac ilikuwa inauwa compresa but for bmw series sijawai juta

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Sasa huoni hiyo gari umenunua iliyorudishwa nyuma odometer?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
320i ya BMW atleast uchukue ya kabla ya 2007 au baada ya 2015 kama pesa ipo.

Kuanzia 2008 mpaka 2014 ukichukua 320i, ukajichongee kabisa na jeneza. N43 engines na N20 engines ni majanga makubwa.

C200 kwa 2010 inakuja na M271 ikiwa na Supercharger kikubwa tu hiyo M271 iwe ni KE18ML na siyo DE18ML

Although pia nayo ina shida kwenye timing chain kama zilivyo engine nyingi za European Makers.

Kila la heri.
Hapa tu ndiyo huwa unanifanya nikukubali......
Huwa unazungumza kitu ambacho unakifahamu vizuri........
Wewe na ndugu RRONDO huwa mnalitendea sana haki hili jukwaa......
 
Sio Siri BMW 320i zipo nyingi Sana sikuhizi Hata Mimi unanipa mzuka Sana wa kujaribu kuinunua ...
Jamaa yangu kariakoo ameuza Toyota crown na amenunua BMW 320 huwa anaisifia Sana gari yake dhidi ya crown 👑 hata Mimi nakushauri nunua fasta hiyo BMW.
Baada ya miaka 5 mbele wengi tutaingia Tu Kwa mjerumani
Nilitaka nishangae bwana wewe kutokuwepo kwenye huu uzi....
 
Back
Top Bottom