JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Siwezi kukubishia hiyo ni experience ya kwako. Wengi wanalalamika matatizo around mileage uliyopo sasa mpaka 100k. Na ni matatizo ambayo yanakuja msururu ndani ya muda mfupi.Mimi naona watu wanaongea tu mimi na bmw 2010 cc 2000 ya 320I ? Nimenunua 2020 zaid ya kumwaga oil ,kubadili brake pad aijawai nisumbua nilinunua ikiwa na km 38000 mpaka sasa nakaribia 80000 na ndio gari yangu kwa kilakitu na before nilikuwa na crown but ilinisumbua sana kwenye ac ilikuwa inauwa compresa but for bmw series sijawai juta
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
BMW e90 ya N52 na N46 zinauzika sana. Is not a coincidence.
Angalia e90 zote zinazouzwa bei rahisi zina engine code gani?