tutabaki kuwa wasindikizaji tu. Kila kitu maslahi binafsi unategemea nini? Hakuna programme za kukuza vipaji, Simba na Yanga kazi yao nikushindana kusajili wachezaji wa nje ambao at end of the day wanabaki kuwa mizigo.
Tunahitaji ligi yenye changamoto wachezaji wanakuwa na mechi every week. Turudi kwenye zile enzi za Pamba ya Mwanza, Ushirika Moshi, etcz. Watanzania wanapenda soka tatizo quality uwanjani hakuna inabidi tuhamie kwenye soka la nje. Fikiria watu hawalali kusubiri mechi kati ya Barca na Real Madrid, wwatanzania tunapenda soka ila liwe la kiwango na hatutafika popote kwa kutegemea Simba na Yanga inabidi kupania wigo. Talents zipo but who is bothered to look for them. Iwekwe sheria timu zote ziwe na academy. Natuache kuileta makocha wa wataifa wazee Wasiokuwa na rekodi ya kuchukua makombe