2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

studio kwenu hadi baadae. Pata ndovu bardii okoa maji na mzingira lol
 
Jamani yetu sijui itafika lini kwani mpaka sasa hivi timu haiko kambini huku wakikabiliwa na mechi ngumu na mambas...hongera zambia!
 
tutabaki kuwa wasindikizaji tu. Kila kitu maslahi binafsi unategemea nini? Hakuna programme za kukuza vipaji, Simba na Yanga kazi yao nikushindana kusajili wachezaji wa nje ambao at end of the day wanabaki kuwa mizigo.

Tunahitaji ligi yenye changamoto wachezaji wanakuwa na mechi every week. Turudi kwenye zile enzi za Pamba ya Mwanza, Ushirika Moshi, etcz. Watanzania wanapenda soka tatizo quality uwanjani hakuna inabidi tuhamie kwenye soka la nje. Fikiria watu hawalali kusubiri mechi kati ya Barca na Real Madrid, wwatanzania tunapenda soka ila liwe la kiwango na hatutafika popote kwa kutegemea Simba na Yanga inabidi kupania wigo. Talents zipo but who is bothered to look for them. Iwekwe sheria timu zote ziwe na academy. Natuache kuileta makocha wa wataifa wazee Wasiokuwa na rekodi ya kuchukua makombe
 
Haya one two kabla ya nusu fainali nyingine. maswali ya kimichezo yanakaribishwa. Nitayajibu kwa mtazamo wangu ....si mtaalamu sana.

TIP 1

Tovuti mojawapo unayoweza kufuatilia habari za michuoano ya africa ni Fotball365.so.za tovuuti dada yake kufuatilia habri za futiboli za UK ni football365.co

TIP 2
Kama uko mbali na screen kubwa na una net nzuri unaweza cheki mechi moja kwa moja kwenye tovuti. kama net kimeo endelea kucheki update hapa jf kweye uzi huu . Tovuti ya Mypremium.tv channel ya british Eurosport inakuleta michezo hiyo dairekto. Vile vile na kwenye katovuti ka mazoezi ka mtazamaji unaweza kucheki michezo mbali mbali afcon ikiwemo .


NB

zimebaki dk kama 25 hivi mpira uanze
 
Mtangazajii mwenzangu rejao huku kwenye afcon sasa wewe uko timu gani?
Mimi nilikuwa nawasupport Gabon..
Walivyotelewa basi tena, nimekosa kabisa hamu na mashindano. Kwa sasa itanibidi tu nibaki upande wa Zambia.
How about you?
 
Mimi nilikuwa nawasupport Gabon..
Walivyotelewa basi tena, nimekosa kabisa hamu na mashindano. Kwa sasa itanibidi tu nibaki upande wa Zambia.
How about you?

ili tusigombane hapa studio basi tuwe washabiki wa zambia tu hahahahha. Naagalia jirani. na napenda timu mpya zisizojulikana. kama hii inayokuja napenda MAli washinde
 
TIP 4-Michezo
kimichezo hizi nchi Mali na ivory coast i zaidi ya mpira wa miguu hazijulikani wenye michezo mingine iwe ni kwa afrika au dunia . May be ivorycaost kwenye miziki ya zuku na rhumba
 
LINE UP ya timu
MALI: S Diakite; D Diakite, Kante, Berthe, Tamboura; Traore, Sow, S Diakite, Keita; Yatabare, Tidiane, Diabate

Ivory coast
: Boubacar, Tiene, Kolo Toure, Bamba, Zokora; Tiote, Gosso, Yaya Toure, Gervinho; Kalou, Drogba.

comment

  • Huyu solom kalou sijaona mchango wake kwenye timu kama mchezaji anayecheza soka la majuu
  • Kijana Tiote kwa kweli amesaidia sana Newcastlel na anacheza vizuri sana kwenye ligi ya UK
 
Mali midfield star Seydou Keita is fit after an ankle injury, but striker Modibo Maiga is out injured. Cheick Diabate comes into the attack. For Ivory Coast, Boubacar Barry and Salomon Kalou are fit to start after recent injuries
 
Past stats
Mali have lost their last three ACN semi-final appearances, conceding a total of 11 goals in total.
 
RIP silence ya ya dk moja kwa maafafa yaliyotokea egypt ............. Na mpra umeanza
 
Back
Top Bottom