2012 African Cup of Nations.

2012 African Cup of Nations.

Jamaa wanasema kuwa, kwenye haya mashindano,

It is not about where you play but the amount of energy you put in the tournament!!
 
hahahahaha....dahhh, toa na sadaka basi kaka....hahaha
Weekend ijayo kwenye jumuiya watafaidi noti zangu aisee......

Unajua mkuu niliipenda sana Cipolopolo ya akina Effort Chabala na wenzake.....Walivyokufa kwa ajali nilisikitika sana na siku zote nimekuwa nikiwalilia na kuwakumbuka.....Hawa vijana wametukumbusha Zambia ya mwaka 1990-1993

Nina imani mzee Kenneth Kaunda atakuwa analia machozi ya furaha pale uwanjani(yupo uwanjani) maana hii timu iliyopata ajali ilikuwa ikiitwa 'KK 11'.......KK=Kenneth Kaunda
 
hahaha! I've been working on a BIG personal project, i will tell you more! Utakuwepo mjengoni kweli Mtazamaji?

With technloogy u can be anywhere anytime . Sina uhaika lakini naweza nikawepo huko. Tuendelee kuwasiliana.
 
Weekend ijayo kwenye jumuiya watafaidi noti zangu aisee......

Unajua mkuu niliipenda sana Cipolopolo ya akina Effort Chabala na wenzake.....

Katika kikosi hicho nalikuwa namfagilia sana Eston Mulenga
 
....stars yetu ya bongo ule uzalendo aliotuanzishia maximo kwishney....mtake msitake jamaa alileta motisha wa
uzalendo kuanzia media mpaka wachezaji...

tutaendelea kuwapigia makofi wenzetu, anyway....
hongera sana zambia, SINKALA big up kaka....lol!
 
Zambia have proved wamba Kufanya vizuri kwenye michez sio lazim uwe based Ulaya. Hiyo ni challnge kwa TFA ,Wizara ya michezo na wanamichezo wenyewe. Wanamichezo wa Tanzania waache bangi zisizo na kipimo. lol
 
....stars yetu ya bongo ule uzalendo aliotuanzishia maximo kwishney....mtake msitake jamaa alileta motisha wa
uzalendo kuanzia media mpaka wachezaji...

tutaendelea kuwapigia makofi wenzetu, anyway....
hongera sana zambia, SINKALA big up kaka....lol!
Hicho kiungo kinatisha mkuu.......Sinkala+Chansa = Siri ya ushindi
 
Back
Top Bottom