2014 NBA Finals...updates

2014 NBA Finals...updates

Wakuu Sao Paulo...kunapendeza sana jamani....mwendo hiyo jana ilikuwa mfano wa hivi.....

msikose kuangalia ufunguzi wa World Cup...baadaye Wakuu tukutane kwenye gemu....both in soccer....Huko NBA Finals nitawasoma hapa kujua mambo yaliendaje.......

Siku za kugombana na "mwenzangu" zimewadia, saa 5 mpaka saa 7 niko na Soccer, saa kumi niko Miami pamoja na kina Pazi, RRONDO, BAK, Ab-Titchaz, Ogah na shifta, lol

Bahati nzuri sisi ma senior bachelors ukifanya hivi siku mbili shosti ananuna anajirudisha kwake, sijui wale wenzangu mlioko kwenye kifungo cha maisha.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie sina hilo tatizo Mkuu Mourinho hapa kuna akina dada na akina kaka tumeianza weekend kwa hii opening ceremony kabla ya kuhamia kwenye game four ya NBA Finals later today. Mkuu Ogah yuko Brazil anacheza samba. Enjoy the game Mkuu.

Siku za kugombana na "mwenzangu" zimewadia, saa 5 mpaka saa 7 niko na Soccer, saa kumi niko Miami pamoja na kina Pazi, RRONDO, BAK, Ab-Titchaz, Ogah na shifta, lol

Bahati nzuri sisi ma senior bachelors ukifanya hivi siku mbili shosti ananuna anajirudisha kwake, sijui wale wenzangu mlioko kwenye kifungo cha maisha.
 
Last edited by a moderator:
Siku za kugombana na "mwenzangu" zimewadia, saa 5 mpaka saa 7 niko na Soccer, saa kumi niko Miami pamoja na kina Pazi, RRONDO, BAK, Ab-Titchaz, Ogah na shifta, lol

Bahati nzuri sisi ma senior bachelors ukifanya hivi siku mbili shosti ananuna anajirudisha kwake, sijui wale wenzangu mlioko kwenye kifungo cha maisha.
Ndomana Juzi nimekosa game Leo nipo nasikilizia mpaka half!
 
Papa huyoo anataka kawaleta wanawe kuja ku Heat mambo South Beach! Sichezi mbali leo!
 
Attachments

  • IMG-20140528-03546.jpg
    IMG-20140528-03546.jpg
    96.2 KB · Views: 86
Papa huyoo anataka kawaleta wanawe kuja ku Heat mambo South Beach! Sichezi mbali leo!

Ohhh kwahiyo leo hulali?

Heat leo inabidi washinde, wakifungwa hii game ya leo itakuwa ........
 
Macho yashaanza kucheka Half ya kwanza naweza kuwacha kutizama Leo Heat wanashinda japo nataka wafungwe Heat muhimu kushinda Leo.
 
Heat inaonekana watashinda leo... ila kuna kitu kinaniambia Spurs watakuwa mabingwa

Cipha Headz bado yeye kakomaa na Lakers tuu?
 
attachment.php

Huyu jamaa nimeshindwa kumuelewa kabisa. Katika makocha wa NBA Teams kwa kununa hana mshindani. Hii mechi ya leo naona inaanza kuwa na muelekeo wa game ya tatu.
 
Coverage ya Supersport kwenye NBA ni very very poor, sijui kwanini waliitoa ESPN kwenye channels zao.
Wananiboaaa, sina option tu
 
3 minutes to go before half time, Spurs are leading by 19 points.
 
Coverage ya Supersport kwenye NBA ni very very poor, sijui kwanini waliitoa ESPN kwenye channels zao.
Wananiboaaa, sina option tu
Pole mkuu! BAK Kasema kweli Papa ni ananuna sana hata akifata wachezaji wake unaona Kama soon atampiga kibao hata Duncan akimvuta pembeni Kama mtoto wa miaka 7 anavyosemeshwa sijawahi kuona smile yake.
 
attachment.php

Huyu jamaa nimeshindwa kumuelewa kabisa. Katika makocha wa NBA Teams kwa kununa hana mshindani. Hii mechi ya leo naona inaanza kuwa na muelekeo wa game ya tatu.

Mpaka sasa kuna kila dalili itakuwa kama Game 3
 
Heat inaonekana watashinda leo... ila kuna kitu kinaniambia Spurs watakuwa mabingwa

Cipha Headz bado yeye kakomaa na Lakers tuu?
Umejuaje hata Mie nimekomaa na lakers tunajikosha tu kwa Spurs hapa Cipha naye anashangilia Spurs katoka kuni msg.
 
Tony Parker Kama Amani na DH zake pale Sigara anataka kuvunja wenzake Ankle Huyu Leonard miaka 22 tu ile Rimu alivyoi Abuse mpaka Tim Duncan mdomo ilifanya O!.
 
Jamaa tujuzane wengine tupo ktk dala2 game vipi nimeacha Spurs 75 Miami 51, ulikuwa robo ya tatu
 
Back
Top Bottom