Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,327
Wakuu Sao Paulo...kunapendeza sana jamani....mwendo hiyo jana ilikuwa mfano wa hivi.....
msikose kuangalia ufunguzi wa World Cup...baadaye Wakuu tukutane kwenye gemu....both in soccer....Huko NBA Finals nitawasoma hapa kujua mambo yaliendaje.......
Siku za kugombana na "mwenzangu" zimewadia, saa 5 mpaka saa 7 niko na Soccer, saa kumi niko Miami pamoja na kina Pazi, RRONDO, BAK, Ab-Titchaz, Ogah na shifta, lol
Bahati nzuri sisi ma senior bachelors ukifanya hivi siku mbili shosti ananuna anajirudisha kwake, sijui wale wenzangu mlioko kwenye kifungo cha maisha.
Last edited by a moderator: