2015 CHADEMA waliomba kutumia Uwanja wa Taifa walimyimwa waliambiwa uwanja huo ni kwa ajili ya michezo tu

2015 CHADEMA waliomba kutumia Uwanja wa Taifa walimyimwa waliambiwa uwanja huo ni kwa ajili ya michezo tu

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Aug. 2015. Akizungumza na vyombo vya habari jijini, Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Assah Mwambene alisema Serikali hakitatoa ruhusa kwa chama chochote cha siasa kuutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya shughuli za kisiasa.

"Tulipata barua ya CHADEMA kuomba kutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuzindua kampeni zao, tayari tumewataarifu kuwa uwanja ule hauwezi kutumika kwa ajili ya shughuli zozote za kisiasa, uko kwa ajili ya michezo tu" alisema Mwambene.

Picha hii ni ya leo.

410D32B4-1DBF-4AB9-A436-FD7724FC9FEF.jpeg
 
CCM siyo chama cha siasa hivyo wana ruksa ya kuutumia huo uwanja
 
Aug. 2015. Akizungumza na vyombo vya habari jijini, Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Assah Mwambene alisema Serikali hakitatoa ruhusa kwa chama chochote cha siasa kuutumia uwanja wa Taifa kwa ajili ya shughuli za kisiasa.

"Tulipata barua ya Chadema kuomba kutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuzindua kampeni zao, tayari tumewataarifu kuwa uwanja ule hauwezi kutumika kwa ajili ya shughuli zozote za kisiasa, uko kwa ajili ya michezo tu" alisema Mwambene.

Picha hii ni ya leo.

View attachment 1595165
Hiko chama kinashindwa kujitofautosha kama chenyewe ndiyo chama au ndiyo dola yenyewe!
 
Hata CCM 2015 tulinyimwa ikabidi tufanyie Jangwani
 
CCM ni wapuuzi sana.
Yaani baada ya majukwaa kukosa watu, watu wakajazwa kwenye Pitch ili kufuatilia burudani ya wasanii. Uwanja umechimbwa mashimo balaa ili kuweka vyuma vya maturubai, viti vimechimba na kung'oa majani, taka hatarishi zimejazana kwenye Pitch.
 
Kumbe unazungumzia miaka iliyopita 2015, maana hata CCM pia ilifanyia Jangwani, swali Je walienda sasa hivi kuomba uwanja wakakataliwa?
 
Hata CCM 2015 tulinyimwa ikabidi tufanyie Jangwani
Sasa mwaka huu imekuwaje mkapewa?
Kwani ule uwanja ni mali ya CCM?
Kwanini mlishindwa kutumia akili hata kidogo kwa kuepuka kukanyaga Pitch?
 
Kumbe unazungumzia miaka iliyopita 2015, maana hata CCM pia ilifanyia Jangwani, swali Je walienda sasa hivi kuomba uwanja wakakataliwa?
Soma na kuelewa.
Msemaji wa serikali alitoa mwongozo wa kiujumla wa wakati wote.
Alisema ule uwanja ni maalum kwa shughuli za kimichezo tu.
 
Aug. 2015. Akizungumza na vyombo vya habari jijini, Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Assah Mwambene alisema Serikali hakitatoa ruhusa kwa chama chochote cha siasa kuutumia uwanja wa Taifa kwa ajili ya shughuli za kisiasa.

"Tulipata barua ya Chadema kuomba kutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuzindua kampeni zao, tayari tumewataarifu kuwa uwanja ule hauwezi kutumika kwa ajili ya shughuli zozote za kisiasa, uko kwa ajili ya michezo tu" alisema Mwambene.

Picha hii ni ya leo.

View attachment 1595165
Aibu aisee
 
Kwa pitch ilivyoharibiwa sioni kama kutakua na ruhusa ya mwingine kufanya mkutano. Katestini kuomba uwanja basi.
 
Mambo yamedilika uongozi umebadilika na nyie kaombeni kama mnataka
Hata uongozi ubadilike uwanja utabaki kuwa wa michezo na wasanii wa fiesta kama CCM ilivyokuwa na fiesta jana.
 
Kumbe unazungumzia miaka iliyopita 2015, maana hata CCM pia ilifanyia Jangwani, swali Je walienda sasa hivi kuomba uwanja wakakataliwa?
Wewe ilitakiwa itumike condom moja tu kuzuia uwepo wako duniani
 
Back
Top Bottom