2015 CHADEMA waliomba kutumia Uwanja wa Taifa walimyimwa waliambiwa uwanja huo ni kwa ajili ya michezo tu

aliyepewa kuutumia kauharibu na katika porojo zake hakuna hata mahala amezungumzia michezo wala mechi ya kesho. hopeless.
 
Mambo yamedilika uongozi umebadilika na nyie kaombeni kama mnataka
We huwa huna logic, kila jambo la CCM unali support bila kufikirisha huo ubongo wako.
Hata CCM wakitangaza kuwa viongozi wake wanajisaidia keki utakuja hapa wanguwangu kusapoti jambo hilo.
 
Aug. 2015. Akizungumza na vyombo vya habari jijini, Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Assah Mwambene alisema Serikali hakitatoa ruhusa kwa chama chochote cha siasa kuutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya shughuli za kisiasa.

"Tulipata barua ya CHADEMA kuomba kutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuzindua kampeni zao, tayari tumewataarifu kuwa uwanja ule hauwezi kutumika kwa ajili ya shughuli zozote za kisiasa, uko kwa ajili ya michezo tu" alisema Mwambene.

Picha hii ni ya leo.

View attachment 1595165
CCM ni chama tawala CDM na vinginevyo ndiyo vyama vya siasa.
 
Aug. 2015. Akizungumza na vyombo vya habari jijini, Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Assah Mwambene alisema Serikali hakitatoa ruhusa kwa chama chochote cha siasa kuutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya shughuli za kisiasa.

"Tulipata barua ya CHADEMA kuomba kutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuzindua kampeni zao, tayari tumewataarifu kuwa uwanja ule hauwezi kutumika kwa ajili ya shughuli zozote za kisiasa, uko kwa ajili ya michezo tu" alisema Mwambene.

Picha hii ni ya leo.

View attachment 1595165
Hii ni ishara kuwa CCM wataacha nchi katika hali mbaya (in a mess) mwaka huu.
 
Back
Top Bottom