Hiko chama kinashindwa kujitofautosha kama chenyewe ndiyo chama au ndiyo dola yenyewe!Aug. 2015. Akizungumza na vyombo vya habari jijini, Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Assah Mwambene alisema Serikali hakitatoa ruhusa kwa chama chochote cha siasa kuutumia uwanja wa Taifa kwa ajili ya shughuli za kisiasa.
"Tulipata barua ya Chadema kuomba kutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuzindua kampeni zao, tayari tumewataarifu kuwa uwanja ule hauwezi kutumika kwa ajili ya shughuli zozote za kisiasa, uko kwa ajili ya michezo tu" alisema Mwambene.
Picha hii ni ya leo.
View attachment 1595165
Ili ku balance mambo.Hata CCM 2015 tulinyimwa ikabidi tufanyie Jangwani
Sasa mwaka huu imekuwaje mkapewa?Hata CCM 2015 tulinyimwa ikabidi tufanyie Jangwani
Hata CCM 2015 tulinyimwa ikabidi tufanyie Jangwani
Mambo yamedilika uongozi umebadilika na nyie kaombeni kama mnatakaNa kwa sasa imekuaje mkapewa?
Soma na kuelewa.Kumbe unazungumzia miaka iliyopita 2015, maana hata CCM pia ilifanyia Jangwani, swali Je walienda sasa hivi kuomba uwanja wakakataliwa?
Hawawez kwenda taifa kwa kuogopa aibu wao mikutano yao wanapenda kufanyia kariakoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mambo yamedilika uongozi umebadilika na nyie kaombeni kama mnataka
Aibu aiseeAug. 2015. Akizungumza na vyombo vya habari jijini, Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Assah Mwambene alisema Serikali hakitatoa ruhusa kwa chama chochote cha siasa kuutumia uwanja wa Taifa kwa ajili ya shughuli za kisiasa.
"Tulipata barua ya Chadema kuomba kutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuzindua kampeni zao, tayari tumewataarifu kuwa uwanja ule hauwezi kutumika kwa ajili ya shughuli zozote za kisiasa, uko kwa ajili ya michezo tu" alisema Mwambene.
Picha hii ni ya leo.
View attachment 1595165
Na utapeli wa CCM mwisho 28/10.Uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
Na utapeli wa CCM mwisho 28/10.
Hata uongozi ubadilike uwanja utabaki kuwa wa michezo na wasanii wa fiesta kama CCM ilivyokuwa na fiesta jana.Mambo yamedilika uongozi umebadilika na nyie kaombeni kama mnataka
Wewe ilitakiwa itumike condom moja tu kuzuia uwepo wako dunianiKumbe unazungumzia miaka iliyopita 2015, maana hata CCM pia ilifanyia Jangwani, swali Je walienda sasa hivi kuomba uwanja wakakataliwa?