Kwani madhumuni ya uwanja yamebadilika?Kumbe unazungumzia miaka iliyopita 2015, maana hata CCM pia ilifanyia Jangwani, swali Je walienda sasa hivi kuomba uwanja wakakataliwa?
We huwa huna logic, kila jambo la CCM unali support bila kufikirisha huo ubongo wako.Mambo yamedilika uongozi umebadilika na nyie kaombeni kama mnataka
CCM ni chama tawala CDM na vinginevyo ndiyo vyama vya siasa.Aug. 2015. Akizungumza na vyombo vya habari jijini, Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Assah Mwambene alisema Serikali hakitatoa ruhusa kwa chama chochote cha siasa kuutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya shughuli za kisiasa.
"Tulipata barua ya CHADEMA kuomba kutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuzindua kampeni zao, tayari tumewataarifu kuwa uwanja ule hauwezi kutumika kwa ajili ya shughuli zozote za kisiasa, uko kwa ajili ya michezo tu" alisema Mwambene.
Picha hii ni ya leo.
View attachment 1595165
Mambo yamedilika uongozi umebadilika na nyie kaombeni kama mnataka
Hii ni ishara kuwa CCM wataacha nchi katika hali mbaya (in a mess) mwaka huu.Aug. 2015. Akizungumza na vyombo vya habari jijini, Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Assah Mwambene alisema Serikali hakitatoa ruhusa kwa chama chochote cha siasa kuutumia Uwanja wa Taifa kwa ajili ya shughuli za kisiasa.