Exactly.Tutaongea yote ila mara ya mwisho Tanzania kuwa na uchaguzi mkuu au serikali za mitaa ni mwaka 2015.
Kumuhusudu na kumkubali aliyesababisha hali hii yote ya sasa huku unamlaani na kumkosoa mrithi na mwanafunzi wake ni sawa na kuchanganyikiwa na kuwa bumunda.
Ni kweli..kipindi kile hata wapinzani waliungana na walimsumbua sana ccm. Nadhani baada ya pale ccm alipata somo kuwa anatakiwa kuhakikisha anawagawa wapinzani kwanza wasiwe kitu kimoja halafu ndo tunaenda kwenye uchaguzi.Tunaweza hata tusije kupata tena uchaguzi kama ule, ikawa mfumo wa uchaguzi wa 2020 na 2025 ndio tutakaoendelea nao milele.
CCM Haijawagawa upinzani bali imeua mfumo wa uchaguzi ndani ya CCM yenyewe na katika taifa.Ni kweli..kipindi kile hata wapinzani waliungana na walimsumbua sana ccm. Nadhani baada ya pale ccm alipata somo kuwa anatakiwa kuhakikisha anawagawa wapinzani kwanza wasiwe kitu kimoja halafu ndo tunaenda kwenye uchaguzi.
Mkuu kwani kwenye siasa kanuni ya "KILA MTU ATABEBA MZIGO WAKE" huwa haifanyi kazi?Kumuhusudu na kumkubali aliyesababisha hali hii yote ya sasa huku unamlaani na kumkosoa mrithi na mwanafunzi wake ni sawa na kuchanganyikiwa na kuwa bumunda.
Hakujawahi kuwa na free and fair elections Tanzania. Hata hizo chaguzi za 2015 kurudi nyuma wizi, udanganifu na nguvu za vyombo vya dola zilitumika kuhakikisha CCM inabaki madarakani, 2020 & 2025 hakukuwa na uchaguzi kabisa.Ni kweli..kipindi kile hata wapinzani waliungana na walimsumbua sana ccm. Nadhani baada ya pale ccm alipata somo kuwa anatakiwa kuhakikisha anawagawa wapinzani kwanza wasiwe kitu kimoja halafu ndo tunaenda kwenye uchaguzi.
Tutaongea yote ila mara ya mwisho Tanzania kuwa na uchaguzi mkuu au serikali za mitaa ni mwaka 2015.
Kumuhusudu na kumkubali aliyesababisha hali hii yote ya sasa huku unamlaani na kumkosoa mrithi na mwanafunzi wake ni sawa na kuchanganyikiwa na kuwa bumunda.
Kwa sababu anajua Kingereza kidogo na yeye ni wa mjini tofauti na mwalimu wake aliyetokea Bush kwa hiyo yeye yuko polished.Ungekuwa na uwezo wa kufikiria walau kidogo,ungejiuliza maswali kama haya
Kwanini hakurithi kutokusafiri safari hovyo kama mwalimu wake
Kwanini hakurithi kugomea chanjo za uviko na mikopo yake ili awe mwanafunzi bora
Kwanini hakurithi kutokufuja rasisilimali za Taifa kama mwalimu wake
Kwanini hakurithi kujaribu kujenga Taifa lenye kujitegemea
Na mengine mengi tu ya namna hiyo,ila kwasabu umeshasema kwamba wewe ni BUMUNDA,basi TUFANYE upo SAHIHI