2017 Afcon Final - Egypt vs Cameroon. Cameroon wamechukua ubingwa kwa kushinda kwa magoli 2-1

Cameroon saizi wana makombe 5 wameongeza record sasa ni timu ya 2 kwa makombe mengi Africa

Mido za cam zimetulia sana na ni vijana wadogo..

Hongera fabrice ondoa kijana wa miaka 20 kutoka la masia kubeba kombe lako na kumuweka nje mkongwe kameni

Misri temper yao ya slow wasingeshinda game hii
 
Biashara ya mapema imewageuikia.....
 
Hongera Cameroon [emoji1169][emoji1169][emoji1169][emoji1169][emoji1169][emoji1169][emoji471][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433]
 
Chezea Cameroon weye .... ... .... ........ ..... wamekomaa na waarabu.
 
Hahahahaha lol! Huu ni uchochezi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Team Wamanga Koko Mko wapiiiiiiiiiiiiii?[emoji12][emoji12][emoji12]
 






Final score Misri 1 - 2 Cameroon
 
Wanaendeleza libeneke la R. Mila hawa vijana.
 
Wahamiaji haramu weshapigwa huko πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…